Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, May 5, 2014

FROM SETH DE JESUS GIOVANNIE,ON INSTANGRAM ANAJIITA BIKIRA WA KISUKUMA!!!



Ukitaka Kujua NDOA HAINA mwenyewe angalia watu wanaoolewa na kuoa...Ni wale usiowategemea kabisaaaaaaaa
Ndoa haina Kanuni...Kwamba ukifuata Stage 1,Ukavuka Stage 2 basi unaqualify...WALAAAA
Kuna watu na Bikira zao(kama Mimi) na watu hawana habari nao kabisaaaaa
ILA kuna watu 'wametumika' mpaka Mshale wa Kilomita umeungua,hausomi,lakini kabla ya September mwaka huu, vidole vyao vitakua vinang'aa kwa bati takatifu la dhahabu
Watu wanaloga waolewe...UTASANDA
Wengine wanapretend ili Wawavutie watu flani...UTASUBIRI SANA
Ndoa ni Blessing from God na ni kitu kitakatifu...Ni Mpaka Mungu aaandike,aruhusu...HAINA MBINU
Just BE URSELF mtu akupende na akuoe kama ulivyo,Usimuonyeshe wewe ni Mwekundu ili akupende halafu aje agundue wewe ni wa Pink
UTAKUWA MJANE KIJANA BAADA YA 3YEARS!
© SETH DE JESUS GIOVANNI, 2014

12 comments:

Tabi said...

Duh,yaani hii amemaliza.com,ni kweli kabisaa

Feminist said...

To my fellow women, kwanini ni sisi wanawake tu ndo tuliokomaaaaa kuwa ndoa ni BLESSING? ni kama ulikuwa una kitu hakujakamilika mpaka uolewe. Mbona wanaume wako poa tu hawaji stress na ishu za ndoa hivi?? au na wao waone kupata mke ni BLESSING aw we so sadly do.
Nasubiri siku ambayo wanawake watakuwa na chachu ya maendeleo kama walivyo wanaume. mtu ajione hajakamilika (kama tunavyojiona hatujakamilika pasipokuwa na ndoa) mpaka mtu awe na vitu vyake, nafasi yake, mali zake etc. I really long for that day. Ikiwa sio mimi, basi hata mungu akinijalia mtoto wa kike nimkuze na huo msimamo ili yeye aje iona hio siku.
TUTABILIKE WANAWAKE WENZANGU.

NURU THE LIGHT said...



kama umesoma mawazo yangu nitaandika siku nimetulia kuhusu hii issue maana ni janga la taifa hii mentality,,,ahsante feminist nimekupenda bure.com,,,,

Anonymous said...

duh kwakweli hii topic utafikiri mumenisoma kwa darubini akili....yani leo ndio nilikuwa najitafakari ...hivi kweli niko tayari kuolewa au ni pressure kutoka kwenye hii society yetu ya kibongo bongo....nawashukuru sana maana mumenisaidia sana kimawazo wadada wenzangu!kwakweli tubadilike...kama leo kaja kijana anataka kuoa basi kuna wengine chungu mbovu watakuja tu kutaka ndoa...ukiona hauko tiyari kuolewa usilazimishe eti kisa ndoa heshima...ufinyu tu wamawazo. wadada tujijenge kwanza

Anonymous said...

Duh mm mwenyewe nina miaka 25 lkn najiwazia kwann siolewi tatizo mashost zetu wenye ndoa wana tashtit mnoo had wanaboa

Anonymous said...

Duh mm mwenyewe nina miaka 25 lkn najiwazia kwann siolewi tatizo mashost zetu wenye ndoa wana tashtit mnoo had wanaboa

Anonymous said...

Mwenzenu nazeeka LIVE na 36 sasa hivi , siwaoni na nanendelea na maisha yangu ila sasa Jamii mara zaa hata na mume wa mtu , ohoo utakosa wa kukusaidia kwani mnazaa ili msaidiwe

Anonymous said...

ni society ndio inafanya watu wawe desperate na ndoa na ni society ndio inafanya wanawake wengi waendelee kuhishi kwenye ndoa zenye manyanyaso kwa kuogopa watachekwa,mpaka society ibadilike ndio mind setting za kuolewa zitabadilika.

NURU THE LIGHT said...



YAANI USIWE DESPERATE TO A POINT UENDE KUZAA NA MUME WA MTU NA ANAYEKUPA HIYO ADVISE KM NI RAFIKI BASI I WUDNT CONSIDER HUYO MTU KAMA RAFIKI BALI SHETANI,,,
THE MOST IMPORTANT THING NI KUJITAMBUA NA KM MUDA WAKO WA KUOWA AU KUOLEWA UMEFIKA IT WILL HAPPEN BUT USIFORCE KITU KUONEKANA TUU WW NI MRS WAKATI NDOA HAUNA,,,

Anonymous said...

wengi waliomo ndoani full "movie" Ili mradi tu basi warushe roho wenzao kumbe unakuta ndoa imejaaa mimawazo tele kisa ooooh mie mrs fulani! mtchewwwwwwww...olewaga ukiwa tiyari kupambana na mikiki na raha ya ndoa sio kuolewa sifa

Anonymous said...

shogati wa miaka 36 nayo hiyo ni miaka ya uzee? bibi kula maisha kwa raha zako Mwenyezi Mungu atakushushia riziki yako pale huna hata habari tena riziki tamu tu..real love! wenzio waolewa na hadi 48 na kuendelea iwe wewe? na huyo anaekwambia zaa na hata mume wa mtu huyo naye jini mahaba huyo hana adabu...mdelete kwenye kundi la marafiki

Feminist said...

Society ni sisi..mabadiliko ni sisi..tuanze sisi kutokusemana wala kumuona mtu hajakamilika sababu hana ndoa..na tuanze kupeana moyo na kuulizana mambo ya maana zaidi..kama elimu, kazi , nafasi kwenye jamii etc. Tushangazwe hivi hivi na kupeana challenge sisi wanawake wenyewe kama mtu umri unaendelea na hajishughulishi, hana ambition wala dreams...let's chase the paper ladies!!

Inawezekana jamani. Na mabadiliko yanaanza na sisi!! Society ni sisi..