Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, May 6, 2014

OPERATION CLEANING DAY PART ONE!!!!



NIKO NA FUNDI,,,THeSe TROUSERS DONT COMPLIMENT ME AT ALL,,DAYUMMM









MOMMY DEAREST WAS THERE,,,












SIWAELEWAGI MABOSI AMBAO HAWATAKI HATA SHIKA MFAGIO WAKATI SEHEMU NI YAKO,,BY DOING WHAT I WAS DOING UNAONA KABISA WATU WANAKUSHANGAA WHICH SAYS ALOT ABOUT MENTALITY YA WATU TANZANIA.TULIPAFUNGA THE LIGHT ALMOST THREE DAYS IKABIDI TUPAFUNGUE MAANA WATEJA WALILALAMIKA SANA I WANTED TO CLOSE FOR A WEEK MAANA UKITAKA TENGENEZA SEHEM UNAHITAJI PRIVACY NA ILE WATU KUPITAPITA INAFANYA HATA UKARABATI AT TIMES KUUDHAIFISHA MAANA UNAWEKA CEMNT MTU ANAKANYAGA BUT IT WAS NICE TO SEE THE REACTION WAKATI TUMEMALIZA OPERATION CLEANUP WATEJA WALIFURAHI AND SO WERE WE,,
ME NA MY RAMA KAMA KAWA TULIPAKA RANGI NA KUFANYA USAFI WITH LES CREW,,MTOTO HUANZA KUTAMBAA KABLA YA KUTEMBEA,,
MILIKI KITU UNACHOWEZA KUKIBEBA NA KUKIKUZA,,
NA KILA SIKU HUWA NAWAAMBIA AS LONG AS UNAJUA UNACHOKIFANYA KUWA NA MSIMAMO HATA WATU WAKIKUCHEKA MAANA KUMBUKA YULE ATAKAYECHEKA MWISHO NI WEWE ULOTOA JASHO LAKO NA KULA MATUNDA YAKO,NIMEMALIZA.COM!!!

4 comments:

Anonymous said...

Pole na kazi ya usafi The Light. We still waiting for KTMA Red Carpet Pics thou. Send my love to mom dearest.

Anonymous said...

Pole Pole ndo mwendi. ILA sujaona hata mmija hati ya wake unaiwawekaga ktk blog yako Wake za watu . Sie wabobgo hatutajirishani . Ndo maana sitaki shoga nije nihesabu maudhi mie . Unauza vitumbua humuoni anayekuja kununua.

Anonymous said...

Iko wapi hii nije ?

Anonymous said...

Ni wapi ipo hii sehemu uliyokuwa unakarabati. Inaitwaje pia.