Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, April 30, 2014

T-SHIRTS.COM!!!!


IN 2012 FOR FIESTA EVERYBODY WAS WEARING RICK ROSS SINCE HE WAS GOING TO PEFORM SO I SAID TO MYSELF WHY NOT HAVE ME ON MY TEE FOR MY DANCERS AND VOILAAAAA IT WAS A HIT EVERYBODY LOVED THEM BACKSTAGE KILA MTU ALIKUWA AKIWASIMAMISHA DANCERS WANGU NA KUSEMA IDEA NZURI..NONETHELESS WAKATI NILIPOST HIZI TISHET KUNA MDAU ALIANDIKA NANUKUU;HAHAHA NURU UMEFULIA,WENZIO WANAUZA NGUO WEWE UNAUZA TISHET MASKINI HUKU ANACHEKA,,

I WONDER IF STILL ANACHEKA SS HIVI HUKU KAVAAA TISHET YA MSANII AU ANATAFUTA HELA YA KUNUNUA TISHET YA MSANII,,

MNAKUMBUKA WAKATI NILIANDIKA UNAWEZA KUWA NA KIBANDA CHA NYANYA WW UKAONA NI KITU KDG KUMBE KUNA MTU ANASUBIRI UKIFUNGE NDIO HUYU MDAU NA AINA HII WAKO WENGI SANA KWENYE JAMII YETU,,

MIMI NISHAUZA TISHET NYINGI SANA KABLA HATA HAWA WENGINE HAWAJAANZA sio lazam kila kitu tuongeee kama taarifa ya habari.com,,
WANASEMAGA AKILI NI NYWELE ILA KUNA WATU WAMEJAALIWA ZA KWAPANI TUU,,
kamwe mtu akikuponda wakati wewe unajua unachokifanya wala usisikitike bali cheka dakika sifuri halafu endelea na harakati zako,,
Wenye makellele utawajua tuu maana pipa lenye maji huwa halinaga makelele
Duniani kuna walimwengu wengi sana ila BINADAMU ni wachache,,
KEEP ACCESSING BETTER LIVING na FELLOW TANZANIANS WANAPENDA VYA KWAO CKU HIZI AND AM LOVIN THE TREND,,nimemaliza.com

No comments: