Aisha anasema” Chid nafahamiana naye kama mshkaji tu na nilimsalimia akiwa na mwanamke, nadhani hakufurahishwa na kitendo hicho , akachukia na kuanza kunipiga, kwanza alianza kurusha meza kwenye bar tuliyokuweko ya Ngudu Bar iliyopo ilala
”Kwa sasa kesi ipo mahakamani baada ya Chid kukamatwa kupitia Rb – ILA| RB | 1569| 2014 Kituo cha polisi cha Pangani Ilala.
source:sammisago.com
1 comment:
POLE DADA YANGU .POMBE SI MAJI SIJUI CHID ALIKUWA AMEKUNYWA MAANA KANA KUNA POMBE ZINGINE ZINAHARIBU KICHWA
Post a Comment