Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, January 2, 2014

MY LAST NOTE ON FACEBOOK IN 2013!!!



NAOMBA NIWAPENI SOMO LA BURE LILILONISAIDIA MIMI KIMAISHA,,
USISUBIRI KUWA TAJIRI KAMA MENGI, BAKHRESA O GATES NDIO UANZE BIASHARA, TAFUTA FURSA PALE ULIPO NA KUWA NA LENGO
UZA MIHOGO, KARANGA, NYANYA, FUNGUA BARBER TAFUTA NA KAMA HUNA MWENYEWE CHUKUA MKOPO MDOGO ILI UWEZE ANZISHA LENGO LAKO,,


ITS NOT ENOUGH KUWA NA BUSINESS IDEA BALI JE NI KITU UKO PASSIONATE NACHO???

 NA HATA KAMA HUNA KUWA NA LENGOBKUWANA KUSEMA KUWA  HAPA NAANZIA ILI HIKI KITU KINIWEZESHE BAADAE KUFANYA BIGGER THINGS,,

WATANZANIA MNA TATIZO MOJA NI KUTAKA KUANZAA JUU KUIMPRESS WATU WAKATI HUNA UWEZO HUO,, KUMBUKA A NI KABLA YA B,,
MWISHO KABISA USIWE MUOGA, USISKILIZE WASOPENDA MAENDELEO, KUNA MARAFIKI N FAMILY MEMBERS AMBAO WATAKUCHEKA UKIUZA NYANYA ZAKO BALI WEWE KUWA NA MSIMAMO WAKO BECAUSE YOU KNOW WHERE YOU ARE HEADING,, KIJANA MTANZANIA USIOGOPE KUANZA CHINI NA KUPANDA JUU AFTER ALL SI UNAANZA KUTAMBAA KABLA YA KUTEMBEA, NIMEMALIZA.COM




5 comments:

Mischa said...

True dat,double like..

Nadia said...

Word.. Wise enough.. Cheers

NURU THE LIGHT said...



thank u guys!!

Anonymous said...

Word Nuru....me luv u mingi sana...naoenda ukivaa nguo ndefu zinakupendeza sana mamiii

NURU THE LIGHT said...



OK THANKS NGOJA NIJAZE MA MAXI DRESSES KWA KABATI HIHIHI,,AHSANTE!!