Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, January 24, 2014

FLAVIANA MATATA FOUNDATION GAVE BACK TO THE COMMUNITY WHILE SHE WAS BACK FROM UNITED STATES FROM HER BUSY SCHEDULE,THANK YOU FOR BEING ANA EXAMPLE AND MAKING A DIFFERENCE IN A CHILDS LIFE AND PUTTING A SMILE ON THEIR FACES!!!!

 WALKING THE CATWALK FOR VIVENE WESTWOOD,,,

 MRADI WA FLAVIANA  MATATA FOUNDATION WA BACK TO SCHOOL PROJECT ILIOFADHILIWA NA MFUKO WA PENSHENI PSPF ILIYOMALIZIKA WIKI ILIYOPITA IVYOENDA ALIANZIA KISARAWE KATIKA SHULE YA MSINGI YA  CHANZIGE B NA KISHA SHULE YA MSINGI YA KIMANZICHANA ILIYOPO WILAYA YA MKURANGA NA SHULE YA MSINGI MSINUNE ILIYOKO WILAYA YA BAGAMOYO
SHUKRAN ZA PEKEE KWA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF NA KUUNGANA NA FLAVIANA MATATA FOUNDATION NA KUSAIDIA VIFAA HIVI KWA WANAFUNZI 1000 KWA KUANZIA KUNA VINGINE VITAPELEKWA MIKOANI, TUTAENDELEA KUHABARISHANA HAPAHAPA, NA ZOEZI HILI NI ZOEZI ENDELEFU,  NDIO MAANA TUNAKARIBISHA WADAU TUFAUTI TOFAUTI, KUHAKIKISHA WANAFUNZI HAWA WANAFIKIA MALENGO NA KULETA MABADILIKO KATIKA TAIFA
















PHOTOCREDITS:8020FASHIONS.COM

No comments: