Genuine Nordic Vodka
Tuesday, November 26, 2013
THE MEANING OF A TRUE FRIEND A.K.A RAFIKI WA KWELI!!!
MTU ANAJIITA MIMI NI RAFIKI WA KWELI,,JE UNAJUA MAANA YA RAFIKI WA KWELI???
KIUFUPI RAFIKI WA KWELI NI YULE ATAKAYE FURAHIA MAENDELEO YAKO,ATAKUSUPPORT,ATAKAYEKUTETEA NO MATTER WHAT,ATAKAYEKUPENDA KIUKWELI HATAKUWA ANAONA WIVU JINSI UNAVYOFANIKIWA WALA KUJIONA YEYE KAPUNGUKIWA BALI ANAFURAHI ON YOUR BEHALF.
MTU ATAKAYEKUWA NA WEWE WAKATI TU UNA FURAHA TU,AU UNA MAFANIKIO TUU AU HELA AU UMAARUFU UKIINGIA KWA WINGI HUYO SIO RAFIKI WA KWELI BALI MPITA NJIA A.K.A MNAFKI,,
THAMINI MTU AMABAYE ATAKAYEKUWA NA WEWE WAKATI UNAPITIA MITIHANI YA MAISHA,WATU WAKIKUONGELEA VIBAYA YEYE HUSIMAMA NA KUKUTETEA
WATU WAKIKUTAKIA MABAYA NA YEYE HUUMIA
NA WATU WAKISEMA HAWAKUPENDI YEYE HUKUONYESHA UPENDO MAANA YAKE NI NINI,,
LANGA ALIIMBA RAFIKI WA KWELI,,USKILIZE HUO WIMBO KUJUA KAMA UMEZUNGUKWA NA RAFIKI WA KWELI AU WAPITA NJIA,,NIMEMALIZA.COM!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
exactly my dear. Siyo rafiki fitinati.
hatutaki mafitinayi.com in our lives.net
Post a Comment