NA MUNGU KWELI HUWA HANYAMAZI KIMYA MTOTO WAKE AKIONEWA,,THANK YOU LA PRINCESSA FOR THIS FB STATUS!!!
Binadam ni watu wa ajabu sana...Heri hata wanyama wajua huyu ni simba nikimkuta ana njaa atanimaliza akiwa ameshiba me si wake... Ila binadam kamwe hawatabiriki...waweza mwamini mtu na mali yako usiwe hofu hata kumbe huyo ndie akuitiaye majambazi usiku. Ila Mungu ni mkubwa hanyamazi mtoto wake akionewa ila anakupa muda tu, kamwe usimdhulumu wala kufadhaisha moyo wa mtu akamlilia Mungu wake shida, Pigo lake sio la kawaida. Muogope Mungu
No comments:
Post a Comment