Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, November 5, 2013

ITS BEEN A WHILE,FACEBOOK STATUS!!!




Hakuna kazi iliyo ngumu kwenye dunia kama kuwa mzazi,being a parent is the hardest job on earth na haina malipo,,as a parent you love your child and want thee best for them,,but being a parent doesnt mean that kila mtu anaiweza hii kazi,,kuna watu wamezaa wanaitwa mama na baba but waulize mtoto wao yuko wapi,mara ya mwisho kumuona lini,ana umri gani au mtoto wao leo kala nini hawajui,,ila walize wao wamevaa nini n bla bla bla watakujibu,,kuna watoto pia walobahatika kuwa na wazazi wazuri na malezi bora ila hawana shukrani,,na kuna watoto pia wanaoharibiwa na wazazi wao,kuna watoto ambao wazazi wao wapo ila hawana uwezo bali wako nao sambamba day by day, na kuna mtoto anajua kulea familia yake by the age of 14 wakati ww 14 unajua kuplay games na playstation,,kuna watoto wanauzwa na wazazi wao right this minute mm naandika hii status hii ndio reality yao,,point nayotaka kumake msizae ili kufunga watu midomo ilimradi na ww uonekane mwanamke kamili au mwananume kamili,,msizae ili kuwaburudisha walimwengu bali zaeni because mko tayari kimwili na kisakolojia,jua unaleta kiumbe duniani amabacho kitakutegemea wewe kwa kila kitu,,wanaadam hii ndio reality yote hiyo mifano nilotoa the question is ww unataka kuwa nani katika mfano huo,mzazi bora au mzazi jina,,tafakari

1 comment:

Anonymous said...

Hapo umemalizaaa.. Good message

I love u Nuru, napenda unavyoishi simple and happy. Na above all, huna makundi..God bless you mamito