mambo mamii...hiyo pure academy ni salon ama ni kile chuo cha urembo mpenz?maana nilienda kukifatilia iko chuo nikaambiwa kimefungwa mie napenda kujifunza mambo ya urembo mamii ukinijibu itanisaidia sana.na kama bado chuo kipo naomba unipe jinsi ya kuwapata
3 comments:
Kasura kamependeza
mambo mamii...hiyo pure academy ni salon ama ni kile chuo cha urembo mpenz?maana nilienda kukifatilia iko chuo nikaambiwa kimefungwa mie napenda kujifunza mambo ya urembo mamii ukinijibu itanisaidia sana.na kama bado chuo kipo naomba unipe jinsi ya kuwapata
Nitaulizia Nilan n get back to you,,
AHSANTE ANONY,,
Post a Comment