Huwa nampenda sana dada Mwamvita. Na siku zote msema kweli ni mpenzi wa MUNGU, naomba hiyo hair style aachane nayo. tena hiyo rangi aliyoweka ndio imefanya ionekane kituko zaidi. Dada Mwamvita kwa roho safi na nyeupe, huu ndio ushauri wangu. Nakutakia kazi njema, msalimie Malaika.
KWA KWEL HUYU DADA ANAPENDEZA NA NYWELE NDEFU SANA YES HANA KICHWA KIBAYA KAMA AKINYOA BT NAONA KAMA THE SHORT HAIR STYLE HAIJAMPENDEZA PLUS HYO RANGI INAMFANYA KAMA MZEE NA SURA INAKUWA KAMA IMECHOKAA
4 comments:

Mwamvita big nooo, u luk kitu kingine kabisaaa
Tsk tsk tsk! No please sister Mwammy!!!!! This look isn't for you boss! Let it go! Much love.....
Post a Comment