INASEMEKANA KAFUKUZWA KWA MTANASHATI ENTERTAINMENT SASA SIJAPATA HABARI KAMILI KUTOKA KWAKE YEY MWENYEWE.WEWE NI MTOTO MDOGO SANA KWENYE INDUSTRY HII YENYE VITU VINGI.JIKAZE NA NAAMINI UTAFIKA MAANA MUNGU ALIKUPA KIPAJI NA YEYE TU NDIO ANAYEJUA SAFARI YAKO IKOJE,,UBARIKIWE MDOGO WANGU
1 comment:
Nuru,
Please asihusishwe mungu hapa kwani tuhuma za kufukuzwa zishatolewa na uongozi wa hicho kikundi. Ndio Mungu amempa kipaji lakini yeye mwenyewe, narudia, yeye mwenyewe ndiye anaiharibu hiyo baraka. Jamani tusimpe Mungu kazi za ziada kama hizi, wewe umeshapewa chako, sasa unaharibu na kutegemea kuwa huyo huyo Mungu atakuwa na "time" nawe wakati unaboronga ovyo ovyo, jamani si tunaona shida ya wengi huko Syria na kwingeneko, sasa muumba aache kuwaangalia hao, arudi kumuona Mtanashati huyu.
Dogo jirekebishe kwani lawama zote ni kwako, asi'singiziwe mtu yeyote.
Nuru natumai utaitundika hii, ni kwa hasira sana ninaiandika. Kazi mbili tatu za huyu dogo nimezipenda sana na kusikia haya ya leo yana tia hasira sana.
Mdau wako wa 3D.
Post a Comment