Amependeza,ila si vazi la heshima kwanini jaman msivaage mavazi ya kuwasitiri wanawake?mnatuachia vimapaja vyenu nje ili iweje?kwa style hyo kupata mume wa heshima zake badaae saana.
mwenzio katulia home na kigauni chake na mumewe na familia yake,,!!
NA TOKEA LINI MAVAZI YA KUONYESHA MAPAJA NDIO KUNAMFANYA MTU ASIPATE MUME HA HA HA,, TABIA YA MTU NI TABIA YA MTU TUU,KAMA UNATABIA MBAYA HATA UVAE NN UNA TABIA CHAFU TUU,,MAMBO MENGINE MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU??
2 comments:
Amependeza,ila si vazi la heshima kwanini jaman msivaage mavazi ya kuwasitiri wanawake?mnatuachia vimapaja vyenu nje ili iweje?kwa style hyo kupata mume wa heshima zake badaae saana.
mwenzio katulia home na kigauni chake na mumewe na familia yake,,!!
NA TOKEA LINI MAVAZI YA KUONYESHA MAPAJA NDIO KUNAMFANYA MTU ASIPATE MUME HA HA HA,,
TABIA YA MTU NI TABIA YA MTU TUU,KAMA UNATABIA MBAYA HATA UVAE NN UNA TABIA CHAFU TUU,,MAMBO MENGINE MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU??
Post a Comment