Genuine Nordic Vodka
Tuesday, October 1, 2013
HAPPY BIRTHDAY ANNE A.K.A MY HUNNYBUNNY!!!
THIS WAS SEVEN IN THE MORNING WE HAD OUR SOUP BEFORE GOING HOME,,HAHAHA ANNA GARI YETU TUMEPAKI WAPI VILE HAHAHAHA!!!
LAST YEAR THE ACTUAL DAY I HAD A SHOW WAS HER BIRTHDAY PARTY TILL MORNIN TULIKUWA PAMOJAHHHH,,
WHEN WENT TO LOOK FOR CHAIRS FOR MY KA-PLACE SHE WAS THERE,,
KUNA SIKU KUNA MDAU ALINIANDIKIA KWANINI UNAHANG NA HUYO DADA SIKURUSHA HIYO COMMENT ILA LEO NAPENDA KUCHUKUA HII FURSA NA KUMJIBU.HUYU NI NDUGU YANGU NA HUWA YUKO NA MIMI MDA MWINGI SANA NIKIWA TANZANIA NA NSHAWAHI KUKAA KWAKE NA HUWA NAJIHISI KAMA NIKO KWANGU SASA MIMI SIO KINA NYIE MNAOPENDA KUHANG NA WATU FLANI KWASABABU FLANI,,KILA SIKU NAWAAMBIENI NYIE NI WATU WA AINA GANI MSIOPENDA FAMILIA ZENU KUTWA KUCHWA MAGROUP NA MAKUNDI YASIYO NA MIGUU WALA KICHWA NA NDIO MAANA SIKU MKIPATA SHIDA MNAJIKUTA MKO PEKE YENU.PENDENI KWENU,PENDENI MLIKOTOKA NA WATU WANAOWAJUA SINCE MLIKUWA WATOTO NA WAMEKUWA NA WEWE TOKA HUNA KITU MPAKA UMEPATA.HATA HUKU ULAYA HUWEZI NIKUTA NAHANG NA WATANZANIA MAANA HAMNA CHOCHOTE WANACHONIPA MAANA HAWAJUI ULAYA WALIFUATA NINI BADO HAWAJITAMBUI NA WANATAKA KUSHINDANA NA WEWE WAKATI WEWE HUSHINDANI NA MTU BALI YOU SIMPLY LIVE YOUR LIFE.UNAFKIRI MACOMENT YENU KWAVILE HATUYARUSHI MAANA TUNAWASTIRI KWASABABU TULILELEWA NA MAMA ALIYETUFUNDISHA USTAARABU.
HIVI WANAWAKE GANI MNAJIITA MAMAMA NA MKE WA MTU BUT KUTWA KUCHWA KUKAA NA KUTUKANA WANAWAKE WENZENU AND AT TYMS VITU VINGINE HATA HAVIWAHUSU KWANI YAKO NA YA FAMILIA YAKO HAYAKUTOSHI MPAKA UINGILIE NA YA WENZAKO DAYYYYYMN,,
MTU UNAISHI MAISHA YAKO ILA BADO MIJITU INAKUFUATILIA,,NA WAOOOO!!
ZAMANI WAKATI NIKIWA MDOGO NLIKUWA NAKUTANA NA WATANZANIA BUT TAKE ME LIKE 10 YEARS BACK SINA MAWASILIANO NAO KABISA NIKO NA FAMILIA YANGU TUU.SO KUMJIBU MDAU MIMI NAPENDA NA KUITHAMINI FAMILIA YANGU NO MATTER UNA HALI GANI,NILISHAKAA NYUMBA HAWANA UMEME WALA MAJI NATUNAKULA DAGAA NA UGALI TUU N I WAS VERY HAPPY KWASABABU NIKO NA WATU WANGU,DAMU YANGU.MIMI SIO SISTA DUU MIMI NI MWANAMKE NINAYEJIPENDA,NAJITAMBUA,NAJITHAMINI BUT MOST IMPORTANTLY NAJIKUBALI,,
MY ANNA HAPPY BIRTHDAY MY DEAR MWAKA HUU SIKO NA WEWE MY HUNNYBUNNY ILA TUKO PAMOJAH ALWAYS SIMPLY BECAUSE WE FAMILY.COM!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
8 comments:
NAWASHKURU SANA KWA KUNILETEA MAJINA PIA YA HAO WATU,,KUMBE WAPO WANAONIPENDA KIUKWELI,,NASHKURU TENA NA TENA!!!
Jamani my hunny B, thanks so much for honoring my B day and for loving and respecting me for who i am and no what i have. i love u more babe..... ure the best company ever yaaani am just speechless. THANK YOU LOVEY LOVE
Annie
Pia asante kwa kuwapa vidonge vyao hao wasiojitambua may be one day they will get it lol....umenichekesha sanaaa
Ann
Hhahahaah nlijua ww utaisoma vzuri na kuelewa my ndugu.com,,yaani leo nimetajiwa majina hata cjawajui wengine mpaka picha nimeletewa niwajue,,chezea stress za ulaya ww na unafki.com,,,tatozo mtu hakujui ila wanajifanya kukujua,,majangaaaaaa hahah,,
washavipata hewani kwa hisani ya google.com!!
YOU ARE VERY WELCOME!!jag älskar dig
words.
yaan kila siku huwa napita kwenye huu ukurasa,,,ila maneno ya leo ni breathtaking,,,
wooow!!!keep it ril mdada.
Nimekupenda bure nuru,,,huo ndo utu Na upendo wa kweli,,,,,
Nuru the Light Ur Daym Right!!!....Heshimu watu and most importantly Respect them for who they are!!! Happy Birthday Anna
Ukweli wape yakiwaumiza na waumie ucjali...me lv u Nuru#da light...ukiona ivo n mshamba/washamba ...(tz my 1st tym kuptia blog ako n m proud of u swt lv#kp t up mamto)
Post a Comment