FACEBOOK STATUS NIMEONA kuna DADA KAPOST,,POLENI SANA FAMILIA YA SEPETU,KESHO NTAJARIBU KUFIND OUT MORE DAHH ITS REALLY HARD FOR THE WHOLE FAMILY NA MUNGU AWAPE NGUVU!!!
My heartfelt condolences are expressed to the Sepetu's family during this hard time as they mourn the loss of their father, Ambassador Isaac Abraham Sepetu. Pole sana dada Tunnu Sepetu, Suna ,Nuru, Wema na mama. Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi kwa kua baba sasa amepumzika. REJOICE. Rest in Peace Baba.
4 comments:
MOLA AMWEKE PEMA PEPONI !YEYE AMETANGULIA NASI NYUMA AKE TUTAFATIA KWANI NDO NJIA YA WOTE
MAMA SEPETU,WEMA TUNNU,NURU NA SUNA MOLA AWAPE IMANI JAPO NI NGUMU MIE NAELEWA MAUMIVU YA KUONDOKEWA NA MZAZI.MIE WAZAZI WANGU WALITANGULIA MBELE YA HAKI,MOLA AWAPE NGUVU NA MAPENZI.AMPE PEPO NJEMA
poleni sana wapendwa mola amweke pema na awape nguvu kwa kipindi kigumu mlonacho
OMG
nawapeni pole nyingi kwa yalowafika imnauma ila hakuna la kufanya ikiwa mapenzi ya Mungu yametimia tumwomee akalale pema peponi .Wakati mwingine hutamani kipenzi chetu kibaki tukimwona ila Mola ndo mwamuzi.
Tujipe nguvu kwani Mola hupanga
poleni wafiwa na mungu amrehemu marehemu amlaze mahali pema peponi. pia nimefurahi kujua kuwa Wema ana dada zake nilikuwa sifahamu. Na wazazi wao wamewapatia majina mazuri sana. TUNNU, NURU, SUNNAH na WEMA. Poleni sana. mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu. Pole Mama SEPETU. Bwana ametoa na bwana ametwaa. Jina lake libarikiwe. Ameeen.
Post a Comment