Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, September 2, 2013

KENNY FRANCIS!!!!

 AM LOVIN THE SHOES,,

8 comments:

Anonymous said...

kichoko zaidi!!

NURU THE LIGHT said...



hahahahah kiushamba zaidi imagine umepoteza mda kuandika hiyo comment uliona ukimpa kapendeza atapungukiwa,,fashion hujui na ushamba juu.com,,si majanga hayaaa wakati kapozi na mwanae yaani hata picha huoni!!!poyeeeeee

Anonymous said...

walaa Nuru usimtetee ni kweli kiatu kimemfanya aonekane mchoko !

Anonymous said...

Hivyo viatu...www.kiuchoko.com

Anonymous said...

Kapendeza jamani. Kaka umependeza. Nuru the light daima!! Nancy elia wa daruu

NURU THE LIGHT said...



NANCY USIBISHANE NA WASHAMBA.COM,,
KAKA ANAJUA PAMBA HATAREE NA WASHAMKUBALI KIMYA KIMYA WAMEONA WAMPONDE VIATU HAHAHAHAH DAYMMMN!!

Anonymous said...

Huyu kaka tokea umeanza kumuweka kwenye blogu yako..anavaa balaa na ninamkubali
Ila kwa hili da nuru niite mshamba hivyo viatu ni ngumu sana kuelewa kama ni vya kiume.

NURU THE LIGHT said...



ucjali nimekuelewa mamii.com