Genuine Nordic Vodka
Sunday, September 1, 2013
I WILL NEVER FORGET YOU MY SHARO!!!!
Kuna wakati naweza nikakaa halafu nasema ngoja nimpigie sharo n then it hits me daaaahhh hes no longer with us.Sharo alikuwa mpole despite the actor and comedian than you see,he was very shy ila alikuwa na adabu na mkarimu sanaaaaaaaaa,,wakati niko Tanzania tulikuwa pamoja mda mwingi sana akiniendesha,nyumbani alikuwa halali kwakwe anakuwa na sisi home kama ndugu yetu yaani.Tulikuwa tukiwa kwenye gari tunaimba sanaaaaaaaaaa ana sauti nzuri kuliko anavyoimba kwenye nyimbo zake.Chuki ni bure katuskilizisha mimi na mdogo wangu mwaka kabla haijatoka yaani tulikuwa tukiiblast kwenye gari hatariiiiii na ule mwimbo mwengine wa Kassim maganga ndoa ndoana hahahhah meeeeen tumebugi sisi kwa kukupoteza so young and so talented..Hapa tupo Soundchek before the show i had at Serena Hotel.Sharo millionea I love you and will forever miss you,,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Alale salama
Pole Light
AMEEN,,
pole nuru mungu yupo pamoja nae najua umeumia sana
YAANI WE ACHA TUU,,GONE TOO SOON,,
Post a Comment