FACEBOOK STATUS,,NIMEIPENDA MNOOOOOO,TEAM WANAWAKE.COM!!!
Ni nani kasema mwanamme ni jasiri kuliko mwanamke? Anaweza kusukuma mtoto mwenye urefu wa inch 14 na uzito wa kilo 4 kupitia tundu dogo tu!!!!? Anaweza kumpenda au kumtamani mtu na akauchuna!!!? Anaweza kulia usiku kucha na akaamka asb kama hakuna kibaya kilchotokea jana!!!. Anaweza kushuhudia penzi lake likimegwa na akavumilia kwa uchungu!!!. Anaweza kujitosa maishani kwa ajili ya ampendae!! HAWAWEZI KAMWE! LAKN MWANAMKE ANAWEZA! Mpe Hongera mwanamke kwa kuongoza dunia kwa ajil ya MUNGU,
1 comment:
Ameeen to that sister
Post a Comment