MY COUSIN REY B amehusika sanaaaaaaaaaaaaa,,,
HANDSOME BOY REY B,,
HAKUNA KITU MUHIMU KATIKA MAISHA YA MWANANDAMU KAMA KUWA NA SUPPORT KUTOKA KWENYE FAMILIA YAKE WAKATI UNAANZA KITU CHAKO,NDOTO ZAKO AU MALENGO YAKO KIMAISHA.NAWASHUKRUR SANA WAZAZI WANGU NA NDUGU ZANGU WA TUMBO MOJA KWA KUNISUPPORT SINCE DAY ONE.PIA NAFURAHI WATEJA ZANGU NA MAFANS WANGU WANAKUJA KUNIUNGA MKONO.KUWA NA BIASHARA YOU NEED POEPLE AND SO FAR PEOPLE HAVE BEEB VERY SUPPORTIVE FOM PLACES THAT I DIDDNT EVEN EXPECT.MY STAFF AND MANAGER AHSANTENI KWA KAZI NZURI,,
JAMANI CHAKULA CHA THE LIGHT ITS SOMETHING ELSE,,KARIBUNI SANA!!
3 comments:
nuru nimefurahi kumwona mama yako na baba yako yaani bado nivijana sana.halafu hongera sana kwa kuwekeza nyumbani.miss finland
mmh this is what i want.good food from good fellow!wheres the restaurant then??i need to come
MISS FINLAND NASHKURU SANAAAA,,
Post a Comment