BADALA WATU WAANDIKE VITU KAMA HIVI TUNAENDEKEZA MAUJINGA.COM!!
KIJANA MDOGO KATANGAZA NCHI YETU NA KUSHINDA OHH MAN I AM SO PROUD OF YOU CAUSE YOU DID THE WORK HAMISI WE ARE JUST TAKING ON THE GLORY BUT YOU BELIEVED AND WENT FOR IT,,THE CHANGE STARTS WITH YOU!!
4 comments:
WOW... He is amazing!!!!
INDEED HE IS!!!
kweli kuna baadhi ya blog ni mumbea na kusutana tu badala ya kuweka post za vitu vya maana km hizi
Yaani nuru wewe ni mtoto mdogo sana, lakini unahekima sana. Huu mwezi mtukufu kuna mablog mengi tena ya waislam wanaofunga nakuvaa mishungi mweusi kazi yao kutoa mambo ya maumbea nakuchonganisha nakuweka comment za matusi. Hivi dini ya kiislam ndivyo inavyofundisha titi for tati hata kwenye mwezi mtukufu?
Post a Comment