Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, August 19, 2013

FEZA KESSY WITH HER BESTIE VANESSA MDEE!!!

 I LOVED WHAT FEZA WORE,,
I LOVE THE GLASSES AND THE HAIRDOOOO THAT VANESSA ROCKED,,
AND I WANT THAT GIRLS BRAIDS OHHH I MISS MY TWIST BRAIDS!!

6 comments:

Anonymous said...

Nuru naomba umbwambie huyu mwanamke ajisitiri, kifua kibaya (hata kama chake), maziwa yameshalala kama kandambili, sidhani kama anasababu za kuanika mwili wake, ajisitiri tu nadhani ndo atapendeza ila kama ndo style yake ya kutoka ama ndo maisha yake anavyo vafaa then i swallow my words.

NURU THE LIGHT said...



Mdau hata kama unataka kumfahamisha mtu na kumtakia mazuri kyweni mnatumia maneno ya busara ss kumwambia mwenzako yamelala kama kandambili unafkiru atakuskiliza kweli,,
Nimeirusha comment kuonyesha mfano kuwa unaweza tumia maneno mengine laasivyo mtu anaweza akakusoma kuwa una hate kumbe sio hivyo,,
Personally mm nimeipenda hii look yake but that is my opinion,,

Anonymous said...

mdau unaesema maziwa ya feza yamelala imekula lwako mwanamke maziwa yake yaliolala hayakai ivyo especial kwenye nguo aliovaa feza kama angevaa beyoce msingesema mbona chuki tu minaona

Anonymous said...

Her girls look fiiiine... and those two girls are really pretty.. they almost look alike.

Anonymous said...

Nuru, i personally like your blog a lot, I love the fact that you are open minded about a lot of things comparing to many other blogs. Hands down. Napenda kukubaliana na mdau wakwanzaaaaa kabisaaaa aliyetoa maoni yake kuhusu maziwa/matiti ya Feza, ameongea ukweeli kabisaaa japoKuwa mmetaka atumie lugha nyingine!!!!!!!!! Feza Kama Mimi pia Hana umbo la kuvaaa hiyo suti na kuachia matiti yake yaning'inie kihivyoooo that is the Truth, and no kind words can hide what we see! Well, she wanted us to see and talk, and here we are talking! Angejisitiri kidunchu angependeza sana au angeli tape hizo nyonyo zake kwa pembeniiiiii! Mmmh! I still think Feza is beautiful.

Anonymous said...

Fezaaaaaaaaaa!!! Just a kind note to you, you never ever ever ever match your hair and your outfit! It is a big No No! As a designer and stylist that is the first thing I learned in my first year in school! The only time you do that it is on "Halloween"!!!!!! come on now!