Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, July 9, 2013

FROM SETH DE JESUS GIOVANNI!!!







Huu ndio ukweli hata ukiupinga..Si Kila Uhusiano ulioingia ukafeli ni mbaya!Hata kama ulikuumiza kiasi gani jiulize faida pia ulizopata kabla hujafungua domo lako kuanza kumtukana na kumkandia kwa kejeli...Ifikie muda tujifunze ku-appreciate hata wale ambao tuliingia nao Mahusiano lakini yakafeli njiani maana yametufundisha kitu...Sasa wewe kila ukiachwa unatukana tu,ooh Kenge sana yule mwanaume hana lolote nimembeba sana yule haridhiki,,ooh Mwanamke malaya nimemvumilia nimepoteza muda wangu lakini bado tu..

Wanaume wengine mlifundishwa kufua Boxer na EX wako flani...wengine mlikuwa hamjui hata kununua Pafyumu kuna demu wako flani ndo alikufundisha na mpaka leo unatumia Pafyumu aliyokuwa anakununulia...Wengine mmetoka Sumbawanga mmekuja chuo Dar hamjui hata kuvaa,mnachomekea Batiki za Zambarau kwenye Jeans za Khaki,demu wako ndo akakufundisha kwenda Boutique na Kuvaa tai leo unaonekana Sharobaro kwa sababu yake...Kisa mmeachana unaanza Kumkejeli??Come On Boy,Be real!Usingekuwa unashine leo bila yeye...No matter how hurtful a Break Up feels,lakini jifunze kushukuru kwa Impact ya huyo mtu in your life...


Some Past Relationships zimekuwa Elimu tosha kutufunza kuhusu Maisha na kutubadili mitizamo mbalimbali...Kuvunjika kwa Koleo sio mwisho wa Uhunzi...Shukuru kwa Lessons alizokupa kipindi mko pamoja and move forward,Kumtukana si haki na si heshima maana wengine mlikuja mjini na mbio za mwenge na suruali zenu za Kisambaa za kushonesha,That girl taught you how to dress,Mshukuru kwa hilo lasivyo ungekuwa bado kilaza wa mavazi hadi leo,Acha kashfa.

No comments: