Genuine Nordic Vodka
Thursday, June 6, 2013
POSTS FROM FACEBOOK!!!
Nchi yangu ina mashabiki wa kinafiki sana- Kama unampenda msanii - unamkubali unafurahia kazi zake na si msanii tu hata mtu mwenye kazi tofauti - rafiki ndugu au jamaa- jamani mpeni sifa zake akiwa hai - lkn sasa ukimpa sifa- ukiweka picha zake kwenye profile au ukimpa promo mtu aliekufa haisaidii zaidi ya wote mi naona huwa mnawauzi marehemu wallah - kuna wasanii wanafanya vizuri wako hai- wana siasa wenye blog zao na wengine wengi wenye sifa hizo- hebu waonyesheni mapenzi wakiwa hai - wanahitaji hayo mapenzi wakiwa hai - yatawafanya wawe wenye furaha na yatawasaidia kuendelea kufanya vizuri ktk zao- Jamani wkt umefika tubadilike wapenzi Kama mnanipenda nataka kujua sasa sio nikiwa nimeshakufa!!!
It's like a fashion for these ppl to do certain things. Today KFC kesho u wear black n ur at Leaders 4 Ngwair doin silly pictures. Here's the real protocol 4 funerals, attend if u can but prayin is a must. Tulia kaa nyumbani n pray for that passed soul sio ur runnin around goin to Leaders n wen the poor man had his shows at Billz n Maisha u were no where to show love. Wabongo, kua kama sehemu nyingine. Love someone till they die, not lovin them wen they dead! He doesn't c ur tears now but prayin mayb he'll get ur msg.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
MASHABIKI WANAFIKI??????
ALOANDIKA POSTI HIYO ANGEKAA AKATAFAKARI .ASIFANANISHE MASHABIKI WA KIFO NA WA UHAI HILO ALIJUE KWANZA UNAWEZA KUJIWA NA MGENI AKAFA NA KUKAJAA WATU NA PENGINE HAKUNA HATA MMOJA ANAYEMJUA MAREHEMU,
UNADHANI WOTE HAO WALOUDHURIA WANAHELA ZA KWENDA KUANGALIA MZIKI
MTU ANALALA NJAA KWA SHIDA YA MAISHA LEO UTAKE AKUONESHE USHABIKI WAKE
WAAFRIKA TENA WATANZANIA HUPENDA KUSHUHUDIA,UMBEA NK SIO KAMA WALOFIKA HAPO WOTE NI MASHABIKI
WEWE ULOANDIKA SEMA KWA WATU 6 TU KUNA MTU KANGANGANIANA NA MWANAMKE LION HOTELI KISHA NGOJA NUSU SAA UTAONA WATAKAVYO FURIKA MPAKA FFU ZITATUMIA MABOMU YA MACHOZI
IMBA,AU KUWA MWANASIASA UPATE RIZKI USISUBIRI UPATE SHABIKI WENGI KAMA UTAVYOZIKWA .USIDHANI WOTE WANAOKWAMBIA UMEPENDEZA NI KWELI
"HILO SAHAU"
Kutokua na kazi ndo kumewajaza wote hao wengine HUFATA MKUMBO KAA VILE WAMESIKIA NGOMA YA MDUNDIKO IMEPITA
Sio shabiki au ushabiki unampelekea mtu kumzika mtu.Kuna wengi hapo hawamjui na hawajawahi muona ila wamepamga foleni ili wamuone
Mie inauma ila sidhani kama ningepanga foleni ndefu kwa mtu nisomjua ,au ningelia mpaka nizimie nadhani ni hulka ya MTANZANIA kubeba mzigo usomuhusu
NIAMINI KUNA ZAIDI YA NUSU YA WALOHUDHURIA HATA JINA LA MAREHEMU WAMELISIKIA BAADA YA KUFA KAMA MIMI.
NI RAHA KAZIKWA NA WENGI NA MOLA AMLAZA PEMA PEPONI
BWANA AMETOA NA AMETWAA
IT IS SO TRUE ,AND I ALWAYS I AM AMAZED WITH HOW PEOPLE DO REGRET TO SHOW LOVE TO THEIR LOVED ONES WHEN THEY ARE ALIVE ONLY TO SHOW IT WHEN THEY ARE DEAD..PLEASE PEOPLE SHOWING LOVE IS EASY JUST TELL THEM YOU LOVE THEM, CARE FOR THEM NA KAMA NI KWA WASANII TUEAONYESHE KUWA TUNAWAPENDA WAKATI WAPO HAI..SIO HADI WAFE..AU NDIO IBADA ZA MIZIMU ZINAENDEKEZWA KWA STYLE HII...MAANA ALIYEKUFA HASIKII WALA HAONI, KALALA,SO WHY ALL THE TROUBLE.....????????
ndio ujue watanzania tunapenda unafiki
Kila mtu utasikia alikuwa mwema alikuwa mwema lakini enzi za uhai wake hatukuyasikia hayo yote
Post a Comment