my dear nuru,happy birthday,nakuombea usherehekee birthday nyingine nyingiii. nuru mimi ni mvivu wa kucoment,ila kwa vile ni birthday yako sina budi kukupongeza. mimi ni msichana mwenzio,not a lesbian,ninayekupenda sanaaa,upendo wangu kwako ni mkubwa sana.picha niliyo nayo juu yako ni kuwa wewe ni mwanamke mwenye akili sana ya maisha,mwenye malengo na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake.Wewe ni mtu usiye na majivuno,unajichanganya na watu wa aina zote na ukafurahia pamoja nao. Ur sense of fashion n style is unique,yaani wewe ni mtu unayekwenda na wakati lkn ktk kila unapovaa nguo zako kuna vitu fulani ambavyo ni typically nuru,vitu ambavyo ni kama signature yako na vinakutofautisha na fashionistas wengine. wewe ni mtu usiyependa ugomvi hata watu wakuchokonoe namna gani,yaani wewe uko kama mimi,mtu wa kusema namuachia mungu. Pia wewe nuru ni mtundu sana ukiwa na ndugu zako,but why not?life is short lazima kutumia kila chance inayopatikana kufurahi maana hujui ya kesho. nina mengi mazuri nanayoweza kuelezea juu yako lkn acha niiashie hapa. kikubwa ninachotaka kusema ni asante,asante kwa sababu kwa kufuatilia nyendo zako za kutimiza ndoto zako umezalisha kitu moyoni mwangu,nuru umenipa nguvu mpya ya mimi kupigania ndoto yangu ambayo nilidhani sitaweza kuitimiza,hapa nilipo nipo kwenye hatua za mwisho mwisho za kutimiza ndoto hiyo,kwa uwezo wa mungu najua itatimia,nuru mpendwa usibadilike,endelea hivyo hivyo na mungu akubariki zaidi na zaidi.amen. ...ester...
AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEN TO THAT ESTER AND I BELIEVE IN YOU UTAFANIKIWA TUU USIKATE MOYO,,KOMENT HII MOJA NI KAMA KOMENT MIA MOJA MAANA UMEONGEA POINT ZOTE NASHKURU SANA KWA MANENO YAKO N ITS ONE OF THEE BEST BIRTHDAY GIFT UMENIPA ESTER,,AHSANTE SANA UBARIKIWE
12 comments:
UMEPENDEZA MDADA ,NAOMBA UNAMBIE NYWELE UNATENGENEZAJE NINA NYWELI NATURAL AMBAZO NAPENDA KUFANYA HIZO AFRO KINKY
my dear nuru,happy birthday,nakuombea usherehekee birthday nyingine nyingiii.
nuru mimi ni mvivu wa kucoment,ila kwa vile ni birthday yako sina budi kukupongeza.
mimi ni msichana mwenzio,not a lesbian,ninayekupenda sanaaa,upendo wangu kwako ni mkubwa sana.picha niliyo nayo juu yako ni kuwa wewe ni mwanamke mwenye akili sana ya maisha,mwenye malengo na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake.Wewe ni mtu usiye na majivuno,unajichanganya na watu wa aina zote na ukafurahia pamoja nao.
Ur sense of fashion n style is unique,yaani wewe ni mtu unayekwenda na wakati lkn ktk kila unapovaa nguo zako kuna vitu fulani ambavyo ni typically nuru,vitu ambavyo ni kama signature yako na vinakutofautisha na fashionistas wengine.
wewe ni mtu usiyependa ugomvi hata watu wakuchokonoe namna gani,yaani wewe uko kama mimi,mtu wa kusema namuachia mungu.
Pia wewe nuru ni mtundu sana ukiwa na ndugu zako,but why not?life is short lazima kutumia kila chance inayopatikana kufurahi maana hujui ya kesho.
nina mengi mazuri nanayoweza kuelezea juu yako lkn acha niiashie hapa.
kikubwa ninachotaka kusema ni asante,asante kwa sababu kwa kufuatilia nyendo zako za kutimiza ndoto zako umezalisha kitu moyoni mwangu,nuru umenipa nguvu mpya ya mimi kupigania ndoto yangu ambayo nilidhani sitaweza kuitimiza,hapa nilipo nipo kwenye hatua za mwisho mwisho za kutimiza ndoto hiyo,kwa uwezo wa mungu najua itatimia,nuru mpendwa usibadilike,endelea hivyo hivyo na mungu akubariki zaidi na zaidi.amen.
...ester...
AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEN TO THAT ESTER AND I BELIEVE IN YOU UTAFANIKIWA TUU USIKATE MOYO,,KOMENT HII MOJA NI KAMA KOMENT MIA MOJA MAANA UMEONGEA POINT ZOTE NASHKURU SANA KWA MANENO YAKO N ITS ONE OF THEE BEST BIRTHDAY GIFT UMENIPA ESTER,,AHSANTE SANA UBARIKIWE
SAWA JANET ITS NOT HARD NTUMIE EMAIL,,AHSANTEEEEEEEEEEE LOVE
Nomechelewa kidogo ila naamini utazipokea salamu zangu..Hongera sana kwa kutimiza miaka.
its better late than neverrrrr,,,man tackar so mycket Yasinta,,d värmde!!
tumezaliwa the same date.happy b.day.wanasema tuliozaliwa tarehe hii,tuna tabia ya be romantic,na watu ambao tuna jali.tukipenda tunapenda
true dat!!!
Happy birthdag dear, i just love you the way you live your life.
Thank u love,, nahis hicho ndo kinawachoma kama sindano haha!!!
sina la kuongeza yote yamemalizwa.
TEAM NURU SAYS ALL THE BEST AND STAY BLESSED MY DEAR LOVE THE LIGHT.
Aaaaaah ongeza kiduchuuuuu lol,,, Ahsante mpenzi
Post a Comment