RIP bro Jamani vijana wadogo wanakwenda.Jamani bongo muwe mnaenda kucheki afya mara kwa mara Maleria inaua .Mungu anamapenzi yake niko majuu msiba nikiusikia ni wa mzee vijana mmmh mpaka napata dhambi wakati naamini Kufa kupo na kila mtu anakufa kwa siku yake ila najiuliza mbona vijana sisikii ????mmmh naamini kwa ajili ya mazingira na matibabu mazuri MUNGU MLAZE PEMA
2 comments:
Mungu amrehemu. R.I.P bro
RIP bro Jamani vijana wadogo wanakwenda.Jamani bongo muwe mnaenda kucheki afya mara kwa mara Maleria inaua .Mungu anamapenzi yake niko majuu msiba nikiusikia ni wa mzee vijana mmmh mpaka napata dhambi wakati naamini Kufa kupo na kila mtu anakufa kwa siku yake ila najiuliza mbona vijana sisikii ????mmmh naamini kwa ajili ya mazingira na matibabu mazuri
MUNGU MLAZE PEMA
Post a Comment