Ahsante sana umenifariji na maneno yako na wale mnaowish nife kufa ntakufa tu maana hamna mtu anaweza kuepuka kwa kifo ila jiulize na ww utaishia wapi,,mm nshajitayarisha na kifo changu je ww je uko tayari au!!
Pole mama...hao wanakuombea kufa we wabariki tu. Mungu peke yake ndio anajua mwisho wa kila mtu na sio wanadamu...Duniani wote tunapita chuki za kuombea wenzako kifo ni useless tu....
3 comments:
Nuru pole mumie yake mwaya i knw hw t fils like to loose a frnd...inauma kwa wote lkn coz ww u used to spend smtym wth im lzma uumie...

Post a Comment