penny libaaaya wema tu ndio alikuwa mzuri sura maaya umempindua shoga yako lakini bado yuko juuu sana badam wema kaachika hata wewe utaachika tu usijioni umefika sana wewe unanini cha zaidi ya wema wetu
shughuli ni kwa huyu mama hv ana enjoy kuwa anatambulishwa mahawara wa mwanae asubuhi na jioni!kama mtoto hasikii si ukae nyumbani usubiri kuonekana na mtakae mtolea mahari.au maza nae anaona fahari kuuza sura mjini.hujisikii vibaya uchafu anaofanya mwanao.kwanza kaa chini useme nae wat goes around comes around.ni laana kwa hao wjukuu zako watafanyiwa kama baba yao anavyofanyia watoto wa wenzake.
SAMAHANI WANAWAKE WENZANGU HIVI HUYU MAMA NASEEB MTU MZIMA HOVYO MIE HATA SIMWELEWI .MUNGU SIJUI KWANINI HUKUMPA PESA DADA MKUBWA WA NASEEB WAKATI MAMA YAKE BADO KIJANA,KARAHA TU KWENYE PART ZA WADADA YUPO . NACHO MPENDEA WEMA YUKO KIMYAA HANA NENO DADA SIE WAANDISHI NDO TUNAUMIA .MAMA NASEEB AWE NAENDA NA WATU WAZIMA WENZAKE
Jamani............Hata sijui chakusema maana kila mtu asha sema nilicho nacho moyoni.Yani Wema alikuwa angalau mwanamke,na mamake wema alijichukuwa kama mzazi nakusimama kando alipo ona penzi lile lilikuwa si bora kwa mwanae.Diamond hana heshima kwa mamake ndio maana haeshimu watoto wakike.Na mi namlaumu mma Diamond anafaa awe mzazi si rafiki ya mtoto wake.Ila kila kitu kinamwisho.No one can ever take Wema's place.........wanakomboleza tu.
Wema ni zaidi ya wote. Mama Diamond umeshazeeka kaa nyumbani ungoje uletewe wajukuu tu, kwenye bday party upo, kwenye maclub upo, we kibibi tuliaaa. Pia ni aibu unavyopiga nao malaya wa mtoto wako, mwanamke gani usiye na aibuu.
6 comments:
penny libaaaya wema tu ndio alikuwa mzuri sura maaya umempindua shoga yako lakini bado yuko juuu sana badam wema kaachika hata wewe utaachika tu usijioni umefika sana wewe unanini cha zaidi ya wema wetu
shughuli ni kwa huyu mama hv ana enjoy kuwa anatambulishwa mahawara wa mwanae asubuhi na jioni!kama mtoto hasikii si ukae nyumbani usubiri kuonekana na mtakae mtolea mahari.au maza nae anaona fahari kuuza sura mjini.hujisikii vibaya uchafu anaofanya mwanao.kwanza kaa chini useme nae wat goes around comes around.ni laana kwa hao wjukuu zako watafanyiwa kama baba yao anavyofanyia watoto wa wenzake.
SAMAHANI WANAWAKE WENZANGU HIVI HUYU MAMA NASEEB MTU MZIMA HOVYO MIE HATA SIMWELEWI .MUNGU SIJUI KWANINI HUKUMPA PESA DADA MKUBWA WA NASEEB WAKATI MAMA YAKE BADO KIJANA,KARAHA TU KWENYE PART ZA WADADA YUPO .
NACHO MPENDEA WEMA YUKO KIMYAA HANA NENO DADA SIE WAANDISHI NDO TUNAUMIA .MAMA NASEEB AWE NAENDA NA WATU WAZIMA WENZAKE
SHEREHE ILIKUA YA WENYE SURA NZITO KA UJI WA MADIDA .WOTE SURA NZITOOOOO,HUYU HALIMA NA PENNY NI NDUGU AU WAKEWENZA ?
AISHI MIAKA MIA NIMSOME GAZETINI AKITEMWA

Post a Comment