Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, May 31, 2013

FROM DJ CHOKA AND THE COMMITEE!!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 

Kama kamati tunaomba kutoa taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangwea utafika siku ya jumapili ya tarehe 2/06/2013 saa nane mchana na sio siku ya jumamosi kama ilivyotaarifiwa hapo awali , Sababu za Mwili wa Albert Mangweha kushindwa kufika jumamosi kama ilivyopangwa ni kutokana Watanzania wenzetu waishio Afrika Kusini kuomba na wao kutoa heshima zao za mwisho . Kwa Maana hiyo basi taratibu zote za kuaga mwili wa Albert Mangweha kwa Wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya Jirani zitafanyika siku ya Jumatatu ya tarehe 03/06/2013 kuanzia saa mbili asubui mpaka saa sita mchana , ambapo baada ya hapo safari rasmi ya kuelekea Morogoro kwa ajili ya mazishi itaanza. Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza Asante

No comments: