NTAKUKUMBUKA SANA NGWAIR,ULIKUWA MTU MPOLE,MZURI,HUNA MAJUNGU NA HAUNAGA TATIZO NA MTU,MUNGU AKULAZE PEMA DAAAH YAANI SIAMINI ILA NDIO KAZI YA MUNGU!!
Taarifa Nilizo Pata Kutoka South Africa Kutoka Kwa Hussein Original Ambaye Yupo Pretoria Amesema Ngwear Amefariki Leo Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na Msanii M To The P. Walivyokwenda Kuwagongea Asubuhi Walikuta Ngwear Amefariki Na M To The P Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa Watu Wa Karibu Wa Ngwear Huko South Africa. Wanasema Alilala Amelewa Sana.
8 comments:
duh! i cant believe ma no one favorite artist in bongo!
Inauma na kusikitisha sana,,, grip
jamani bado xtaki amini kama cowbama amefariki khaaa RIP Albert
Ni kweli mdau ila ndo tufanye nn,,, a Young man with so much talent, mpole, mstaarabu, hana tatizo na watu, mnyenyekevu but Most importantly one of the best mc Tanzania ever had
its very sad seeing such young talents going into waste,help us dear lord.
SO SAD! RIP GWEAR! NIMESIKITIKA SANA!
Poor Albert. May his soul Rest in perfect peace... Amefiya South africa? Na amekua anafanya nini huko? Jamani udongo unakula nyama si majani. Naskitika!
Inauma lakini, wangapi wanaondoka kwa haya ya ulimwengu, madawa ya kulevya, ulevi wa kupindukia n.k. Ndio inauma, lakini inatia hasira kuona hawa wanaoitwa wenye "talent" kuwa hawana talent ya kujua kuwa haya mambo mwisho wake pabaya.
boys, rest in peace.
Post a Comment