mmmmmmh hata mimi nimebaki nashika mdomo kuona ukaribu wake na mbwa...labda uwe c muilsaam lakini mdau hapo juu amekwamba kwa umpendo wala hajakwambia udiscus dini....mungu kila siku anatupa mifanao sijui kwanini vitu vidogo twashindwa kuvikwepa vinavyowezekanika... c lazima udiscuss huonikm matendo yanatosha kuona unachofanyia dini yako c sawa...
6 comments:
hongera bi dada mimi mbwa siwezi kumsogelea hivyo nawaogopa ile mbaya halafu nakaa ulaya mbwa kila kona.
hahahah nakuelewa wala usihofu ila jaribu kdg kdg kuanza kupractise na mbwa wapole,,,
hivi dada yangu mpendwa wewe c mwislaam?kulikoni na mbwa kujipakaza manajisi au ndiyo udunia umekuzidia?
SIJAWAHI NA SITODISCUSS HUMU NDANI MAMABO YA DINI NA KABILA,,,UBARIKIWE SOPHI WA UK!!!
mmmmmmh hata mimi nimebaki nashika mdomo kuona ukaribu wake na mbwa...labda uwe c muilsaam lakini mdau hapo juu amekwamba kwa umpendo wala hajakwambia udiscus dini....mungu kila siku anatupa mifanao sijui kwanini vitu vidogo twashindwa kuvikwepa vinavyowezekanika... c lazima udiscuss huonikm matendo yanatosha kuona unachofanyia dini yako c sawa...
Na ww nafkiri pia huelewi Kiswahili maana nimeshamjibu mdau huyo wa juu,,
Post a Comment