Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, December 18, 2012

YAANI SOMETIMES BINADAMU WANATIA AIBU NA HAWANA UTU TENA NA KUSAHAU KUNA SIKU NAWAO WATAITWA MAREHEMU!!


I GOTTA A PHONE CALL ABOUT THIS AND I WAS SHOCKED BECAUSE I NEVER THOUGHT IT CUD HAPPEN BUT LITTLE DIDI I KNOW KUNA WATU WANAUZA KALENDA ZENYE PICHA YA MAREHEMU SHARO MIILIONEA NA MIMI NIMO KWA MANA HIYO PICHA NLIZOPOST HUMU AU FB ZA MIMI NA YEYE NA ZENYEWE ZIMO KWENYE HII KALENDA NA KUUZWA BILA YA KUWASILIANA NA FAMILIA YA MAREHEMU,,SASA SWALI LANGU HIVI HATUNA HAKI YOYOTE NCHINI KWETU AMABAYO INAMLINDA MAREHEMU?
NA JE WATU WATAKAAJE NA KUNUNUA KITU AMBACHO CLEARLY HAKIJATHIBITISHWA NA FAMILIA YA MAREHEMU,,
ARENT THESE THINGS SUPPOSE TO BENEFIT FAMILIA YA MAREHEMU?
UP TILL TODAY ELVIS PRESLEY AND BOB MARLEY ARE MAKING MONEY AS WE SPEAK AND THEIR LOVED ONES ARE BENEFITING FROM IT WHICH IS THEIR RIGHT SO HOW COME WE TANZANIANS WHEN WE LOOSE OUR CELEBRITIES WHO WERE AN ASSET NOT ONLY TO THE COUNTRY BUT TO THEIR FAMILIES ASWELL WE DONT HAVE ANY SUPPORT SYSTEM OR LEGAL RIGHTS TO CHERISH THEIR MEMORIES AND THEIR ASSETS,,IT IS A DAMN SHAME TO THE PERSON WHO DOES THIS BUT THEN AGAIN WHY WOULDNT THEY WHEN CLEARLY THERE ARE NO CONSEQUENCES FOR THEIR ACTIONS,I AM ALIVE AND CAN CLAIM MY RIGHT NOT FOR HIM TO MAKE MONEY OUT OF MY NAME BUT HOW WILL SHAROS FAMILY GO ABOUT?
NA SISI KAMA JAMII TUNAKAA TUNANUNUA MAGAZETI AU MAVITABU YA MAREHEMU AMBAYO HATA ARUBAINI HATUJAMALIZA HICHO KITENDO KINATUONYESHA SISI KAMA JAMII GANI AMABAYO HATUULIZI MASWALI NA UHALISIA WA HILI JAMBO.,
HIKI KITU KIMENISIKITISHA SANA ILA SINA ZAIDI..,

2 comments:

Anonymous said...

But to be fair to the buyers, I am not sure really when people buy these items they know exactly who the benefitors are, so you cannot really blame the buyers. If my favorite artist passes away, I would buy such things (e.g. calendar) as a remembrance, but it's wrong to say you blame me because I bought it. Clearly the system has to be changed so the families benefit from it, but even if I were to buy something a year later who is to say that the family necessarily benefit just because arobaini imepita etc etc. But yeah nakubaliana na wewe, kuwe na sheria ya kumlinda marehemu na familia.

NURU THE LIGHT said...


naomba unielewe vizuri kuwa mimi sina matatizo ya mtu mshabiki kununua kalenda,sticker,t-shirt au chochote kila anataka kununua kutoka kwa idol wake ila tatizo its the way this thing n the death of kanumba has been handled,,issue ni kama movie yaani yale yale yalimtokea marehemu steven yanatokea tena kwa sharo ndio maana i raised this issue..,cha kwanza kabisa we need sheria itakayomlinda marehemu na familia yake..,ahsante