Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, November 29, 2012

NI NDUGU ZANGU COZ IT AINT EASY!!

NIKIIONA HII PICHA SIMMALIZI MDOGO WANGU PABLO NA NEZRAY AISEE,,JANA USIKU NIMEONGEA NA MDOGO WANGU NEZRAY HAPO KATI KWENYE PICHA AKANIAMBIA WAMEMALIZA SALAMA KWAKWELI NILIFARIJIKA KUJUA KILA KITU KILIENDA SALAMA,,NILIONHEA NA WASANII WENGI AMABAO WALIHUDHURIA MAZISHI NA NILIFURAHI KUWA WATU WALIFUNGA SAFARI NA KWENDA KUMZIKA NDUGU YETU NA MSANII MWENZETU SHARO..,NITAWEKA VIDEOCLIP BAADAE WAKATI NIKITULIA KIDOGO,,REST IN PEACE HUSSEIN RAMADAHNI MKIETI!!

1 comment:

Mija Shija Sayi said...

Mungu amlaze mahali pema Amen..