SUPERMODEL FLAVIANA MATATA IN SHERRI HILL,,,
FARAJA KOTTA,,,
MBONIE MASIMBA..,
SALHA ISRAEL MISS TANZANIA 2011..,
GENEVIVE MPANGALA MISS TANZANIA 2010.,
ELLYGIVER..,
YVONNE MASHUDA..,
STUNNING..,
DESIGNER LUCKY PETER WHO DESIGNED ELLYGIVER AND YVONNES DRESS..,
THE HOST OF THE NIGHT ALONGSIDE TAJI LIUNDI ITS JOKATE MWEGELO!!
ELEGANT BUT SHE COULD HAVE CHOSEN ANOTHER BAG,,,
LISA JENSEN..,
ASYA KHAMSIN AND SHAMIM MWASHA LOOKED GREAT..,
RIO PAUL,NOEL AND VAN,,THESE GUYS RARELY DISSAPOINTS THE RED CARPET NDIO MAANA NAWAITAGA SWAGGA BOYS,,,THEY KNOW THEIR SWAGG!!!
AND HERE IS WHAT SOME OTHER FOLKS CHOSE TO WEAR THE WORST DRESSED THAT IS,,,
NIANZE WAPI,,,ITS JUST A HOT MESS!!!
IT IS SO WROOOOOOOOONG!!!
SONGSTRESS LINAH SANGA..,
SAUDA MWILIMA..,
SERIOUSLY ITS AN EVENT AND YOU CAME LOOKING LIKE THIS WITH JEANS SHORTS AND ALL,,,,COME ON!!
KILA SIKU HUWA NASEMA NA NARUDIA TENA,WABONGO TUJIFUNZE KUVAA ACCORDINGLY NA PALE TUNAPOKWENDA.WATU WAMEVAA KAMA WANAENDA CLUB WAKATI ITS A BLACK TIE EVENT,INAMAANA KWENYE HIZI KADI HAWANAGA DRESSCODE???
NA SOMETIMES VITU VINGINE NI COMMON SENSE KWAKWELI WW UNAJUA PALE MNAPOENDA NI SEHEMU YA AINA GANI NA KUTAKUWA NA WATU WA AINA GANI KWANN TUNAVAA HIVI,NA KWANINI WANAWAKE WAKITANZANIA MNAPENDA ONYESHA YOUR SKIN ALL THE TIME THINKING NDIO THATS THE ONLY WAY YOU LOOK SEXY WAKATI KUNA NGUO KIBAO THAT WILL COMPLIMENT YOUR FIGURE.EVERYDAY NAPREACH,KNOW YOUR BODY AND DRESS ACCORDINGLY!!NIMEMALIZA
PHOTO CREDITS KWA HISANI YA;8020FASHIONS,MISSIE POPULAR BLOG AND BONGO5
15 comments:
The host of the show is wearing the same chunky heal with every outfit.. I don't think it's wrong, but the chunky heal looks to heavy on some of the dresses like the blue one and the orange jump suit, she should have opted for a less chunky heal for those outfits.
I AGREE WITH YOU COMPLETLY!!!
I CAN WEAR WHAT I WANT, IMPORTANT THING IS I PAID TSH. 100,000 TO SEE THE SHOW NEXT TIME LET PEOPLE KNOW OF HOW THEY ARE SUPPOSE TO DRESS, I THING YOU JUST WANT TO BE FAMOUS BY SUING OTHERS BIG NAMES, I DO NOT SEE YOUR ARGUMENT IT IS A FREE NATION PEOPLE ARE FREE TO DO WHAT THEY WANT AS LONG AS THEY DO NOT BREAK THE LAW, NOW WHERE ARE YOUR PICS ON THAT DAY SO WE CAN COMMENT AS WELL? I MEAN I DO NOT KNOW YOU BUT YOU SHOCKED ME WITH YOUR PRIMITIVE ARGUMENT!!
KWAHIVYO WW UNAJULIKANA AU,,MBONA UMECOMENT ANONYMOUS!!!
AND SITAFUTI UMAARUFU AM ALREADY THAT DARLING,,,NA WW FANYA BIDII TAFUTA CHA KUJISHUGHULISHA N NOBODY SAID HUWEZI VAA UNACHOTAKA KAMA VILE ITS A FREE WORLD TO HAVE A PRIMITIVE ARGUMENT,,I SUGGEST UTIZAME MAANA YA PRIMITIVE NI NN B4 MENTIONING WORDS U CANT EVEN ARGUE ABOUT,,HII SIO MARA YA KWANZA NA WALA YA MWISHO MM KUFANYA HII LIST,,KAMA DULLAH ASEMAVYO FANYA YAKO NA MM NTAFANYA YANGU,,,
Usihangaike nae huyo choko William Maleclea tena kakuweka hadi facebook watu wanakutukana. Mtu mzima ovyo
The price is really not an issue, if you got it flaunt it, we all still gotta work, right? I personally use my money wisely, the other day I snagged some killer shoes for just $6 and they are really nice, sometimes it's not the price that matters, it's how you wear it.... you could be wearing the most expensive shoes in the world, but if it doesn't work, girl it doesn't work.
yani watu wanavaa upupu alafu hawaki kuambiwa. kama lINA it is too much she needs help ukizingatia ni bongo star, kavaa kama anaenda kanisani, viatu hata haviendani, mtoto shepu ipo lakini ndo kashamba. saud mwilima ndo ameamua kurudia zile make up zake za kishamba, huyu nae juha. We waeleze ni kweli wanachefua.
Huyu alieva nguo nyeusi yakuonyesha chupi, ndo hovyo kabisaa sijui katokaje kwao. kama walio karibu nanyi wameshindwa kuwakanya na kuwaeleze kua hamjapendeze, hawawajali so Nuru kajitolea kuwapa taarifa,. next time either muwe simple au kama mnaamua kupigilia pigilieni kwa akili
kakosea tu hata kama hizo nguo zina thaman ya dola laki moja ila haziendani na event full stop. Nuru umemsaidia siku nyingine atabalika,
sauda make up artist wako mbadilishe kama ni ww mwenyewe basi angalia unachokipaka sio jaman, halafu kila shughuli ndo unavyotoka sijui nani alikudanganya unapendeza sura nzuri tatizo make up jamaaaaaaaaaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiii unaboa bana
hehehe achana nao.
SIKU ZOTE LIGHT!! UKWELI UWA UNAUMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Nadhani wanaposema black tie event, waandaaji inabidi wafuatilie and emphasizing about the dress code. If they show up wearing inappropriate dress code, don't let them in! Geez, it's written on the card "black tie event", and when you purchase that card you have to adhere to it's rules.
inavyopaswa and not allowing these fools coming to the event like they are going to the club or beach. Nuru the light you are absolutely right, nakuunga mkono kabisa kwenye hili, that was hot mess.
Mmmm LANGU JICHO acha mie nipite kwa upweke wa ulaya bila kuangalia mablog nakumbuka nilikotoa ,nimesoma kwa Sinta sasa ndo nimejua ninani aloanzisha.yule mwenye wavu dada!ingekua shoga yangu nanii wangemuweka kwenye magazt ya udaku. TUWAACHE WAVAE WAPENDAYO VIOO HUDANGANYA
MMh ila hili libaba limechemsha hata kama linakataaa na kubwabwaja upupu huko kwenye blog ya huyo dada mchafuchafu, yaani nimeamini kweli watu hawapendi kuambiwa ukweli, sasa nuru mie mbona simjui afu asema eti unatafuta umaarufu kwa kupitia jina lake, ila hilo limbaba hata silijui wala sijawahi lisikia kutoa tu huwa naliona ktk kijiblog cha huyo dada mchafu mchafu, Sonyo lao
Mputuuuuuuuuu nimewatema mie wananitia kichefuchefu tu, nakuomba hebu ondoa lipicha la huyo jibaba, mwenyewe mbaya
acheni nicheke.......maana hizi comments
Post a Comment