Genuine Nordic Vodka
Tuesday, November 27, 2012
I WILL ALWAYS LOVE YOU BUT GOD LOVED YOU MORE,REST IN PEACE!!!
NA BABA YAKE MZEE MAJUTO AMBAYE NDIO ALIKUWA MSHAURI WAKE MKUBWA..,
NA MWENZAKE BABAU KITALE YAANI NAJUA KAUMIA ZAIDI YANGU MAANA WAKO SANA PAMOJA KIKAZI AISEE IT IS STILL UNBELIVABLE..,
MY COUSIN RAY AMABE NI RAFIKI MKUBWA SANA NA WA KARIBU KWA SHARO N THATS HOW I CAME TO KNOW SHARO WHO USED TO CALL ME DADA NURU,,LAST TIME I WAS IN TANZANIA NOV 2011-FEB 2012 I WAS WITH SHARO ALMOST ALL THE TIMES.HE USED TO SLEEP AT THE PLACE I STAYED AT YAANI TULIKUWA NAE KATIKA SHIDA NA RAHA NDIO MAANA SIWEZI MSAHAU MDOGO WANGU HUYU..,
HII SIKU ILIKUWA BAADA YA BRIDAL SHOWER YA DEVOTA JOHANSSON TUKATOKA NAE KWENDA KUJIRUSHA,,,GOOD TYMS AND GOOD MEMORIES!!
HII PICHA HAINA HATA MIEZI MIWILI,,,
YAANI SISI WATATU TULIKUWA THREE AT ALL TYMS!!TUNASKILIZA KASSIM MGANGA NDOA NDOANA,MUHOGO ANDAZI,CHUKI NI BURE ILIKUWA HAIJATOKA TULIKUWA TUNAENDA STUDIO NA KUSKILIZA NYIMBO KWENYE GARI NA ILE NYIMBO YAKE NA RICH MAVOKO NDO USISEMEEEEEEEE MBONA SHARO HATAKI.AMENUNA KAZIMA MZIKI AHHHHH AISEE..,MUNGU AKULAZE PEMA
HAPA TUPO COCO BEACH TUNAKULA MIHOGO,,SHARO ALIKUWA NA NYOTA YAKE YAKIPEKEEE..,
HAPA BEFORE I DID THE SHOW AT SERENA HOTEL WAKATI WA SOUNDCHEK KAMA MAZOEZINI NI YY NA NDUGU YANGU WALIKUWA WAKINIDROP NA KUNIFUATA,SOMETIMES THEY STAY TO WATCH ME REHEARSE NA HAPA SITOSAHAU HII CONVERSATION WE HAD MIMI NA YEYE.,REST IN PEACE HUSSEIN A.K.A SHARO MILIONEA MAANA UMETACHIA PENGO KUBWA SANA TENA MNO!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Pole sana Nuru..alikua kma kaka kwako..Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi..Aamin
DAH AHSANTE BADO SIAMINI,TUMBO LINANIUMA,KULALA SIWEZI NASEMA KUWA NI NDOTO ILA LAAH NI KWELI ASYA,,,INANIUMA SANAA!!
jamani mimi niko curious ndio huyu ambaye yule mzee mtabiri alimtabiria kifo au, mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Pole sana nuru...najua inauma sana, mungu amempenda zaidi.
Post a Comment