LEO NIMEKAA SANA NKAFIKIRIA KUHUSU MAHUSIANO YA WATU,KIUKWELI KWA SASA TANZANIA MAPENZI NI KWA WACHACHE SANA,
WANAUME WAMEKUWA WAONGO NA WANAWAKE PIA,HAMNA TENA UAMINIFU WALA SUBIRA,,
MWANAUME LEO ANAJUA KUWA BILA HELA HAPATI DEM AU MKE NA MWANAMKE LEO HATAKI MWANAUME ASOJITEGEMEA,
,IMEKUWAJE SISI TULOKUWA NA UTAMADUNI WA KUJALIANA TUMEBADILIKA HIVI GHAFLA,NI TV NA CULTURE ZA WESTERN AU NI DUNIA TU
IMEBADILIKA,
,MTU ANAOLEWA ILIMRADI AITWE MKE BALI HAPASWI KUITWA MKE MAANA VITU AVITENDAVYO NI KUZIDI HATA MALAYA ANAYEJIUZA,,
WAUME HAWAPASWI KUITWA WAUME MAANA WANA NYUMBA NDOGO KILA KONA HAWARIDHIKI NA WALICHONACHO NYUMBANI,,WHAT HAPPENED!!KUWA NA NYUMBA NDOGO NDIO UANAUME AU,,NA KWANN UNAKUBALI KUOLEWA KAMA HAUKO TAYARI ILI MRADI USISEMEWE TU NA JAMII AU!!
A CHANGE HAS O COME N IT STARTS WITH YOU,
,HAKUNA UhUSIANO ULIO RAHISI MAISHANI,,IT IS WORK,,LAKINI CHAKUSHANGAZA TUMESAHAU KAMA KUWA NA MAHUSIANO NA MTU UNATAKIWA UUTUNZE UHUSIANO WAKO KAMA VILE MWILI WAKO,LKN KAMA HUUHESHIMU MWILI WAKO UTAJUAJE HILO!!!
NA JENGINE NI KWAMBA KWANN WANAWAKE KWA WANAUME HAWAPENDI KUJITUMA NA KUTAFUTA RIDHZKI YAO,,MAISHA YA LEO SI YA MIAKA YA NYUMA NA WOTE TUNAPASWA KUSHIRIKIANA ILI TUWEZE KUSURVIVE.SASA HIVI WATU MNAACHA NCHI ZENU KWENDA NJE KUTAFUTA MAISHA ILA MWISHO WA SIKU MNAISHI ZAIDI YA WALE WA NYUMBANI NIKIMAANISHA UMBEA NA TABIA ZA KISWAHILI.SASA KAMA WEWE UKO NCHI YA WATU NA HUTOKI HATA NA KIMOJA CHA HAPO DONT YOU THINK YOU JUST WASTED YOUR TIME BY BEING THERE,,KUNA WATU WAKIFIKA ULAYA WANAANZA PONDA NCHI ZAO WANASAHAU THE ROOTS OF WHO THERY ARE ZIMETOKEA WAPI NA UNAAMBIWA ASIYEPENDA KWAO ATABAKI KUWA MTUMWA!!
JAMANI KUNA WAMAMA WANAUZA MCHICHA NA WANALEA FAMILIA NZIMA,WANASOMESHA WATOTO WAO NA KULIPA KODI YA NYUMBA.INAKUWAJE HUYU MAMA ANAJITUMA BALI WEWE UNATAKA KUNUNULIWA TU GARI YA FAHARI BY DOING NOTHING!!!
MAMBO HAYA YA KUKAA KUSEMANA VIBAYA,KUTAKIANA MABAYA,WANAWAKE WAZIMA MNAITWA MAMA NA WAKE KUKAA KUTUKANANA KWANINI LAKINI HATUTAKI KUBADILIKA,WANAUME NDIO USISEME MAANA WAMEKUWA WAMBEYA KUPITILIZA.KWANINI HATUTAKI KUITWA WAFANYABIASHARA MAARUFU TUWEKWE KWENYE MAGAZETI YA FORBES N SO ON.KWANN WANAWAKE HATUSUPPORIANI ILI TUENDELEE.HIVI MNAJUA SISI WANAWAKE TUNA UWEZO SANA WAKUBADILISHA MPAKA NCHI.INAKUWAJE LEO TUNAWEZA KUSOMA NA KUWA ANYTHING IN THIS WORLD BUT WE STILL CHOOSE THE EASIEST WAY KUMAKE IT IN LIFE,,HAMNA SHORTCUTS IN LIFE BECAUSE EVERYTHING HAS A PRICETAG SO KAMA HUJALIPISHWA LEO UTALIPISHWA KESHO.
MAMBO HAYA YA KUKAA KUSEMANA VIBAYA,KUTAKIANA MABAYA,WANAWAKE WAZIMA MNAITWA MAMA NA WAKE KUKAA KUTUKANANA KWANINI LAKINI HATUTAKI KUBADILIKA,WANAUME NDIO USISEME MAANA WAMEKUWA WAMBEYA KUPITILIZA.KWANINI HATUTAKI KUITWA WAFANYABIASHARA MAARUFU TUWEKWE KWENYE MAGAZETI YA FORBES N SO ON.KWANN WANAWAKE HATUSUPPORIANI ILI TUENDELEE.HIVI MNAJUA SISI WANAWAKE TUNA UWEZO SANA WAKUBADILISHA MPAKA NCHI.INAKUWAJE LEO TUNAWEZA KUSOMA NA KUWA ANYTHING IN THIS WORLD BUT WE STILL CHOOSE THE EASIEST WAY KUMAKE IT IN LIFE,,HAMNA SHORTCUTS IN LIFE BECAUSE EVERYTHING HAS A PRICETAG SO KAMA HUJALIPISHWA LEO UTALIPISHWA KESHO.
WE NEED A CHANGE,A CHANGE STARTS ALWAYS WITHIN YOU NA KUMBUKA HUWEZI WABADILISHA BINADAMU WENZAKO LAKINI UKIBADILKA WEWE NA KUWA NA MSIMAMO BASI HATIMAYE HAO WENGINE WATAKUFUATA.LETS START TEACHING OUR CHILDREN THE MORAL AND GOOD VALUES ONCE AGAIN,NAITWA NURU THE LIGHT A.K.A MWANGAZA!!
5 comments:
Umenena mtoto wa kike, thanks for that strong msg, it is sent and delivered to us who read blogs
Mdau
NASHKURU KWA HILO!!
BOOOOM NILIKUWA WAPI?
FUNGA KALOMO THE LIGHT UJUMBE UMEKAA MAHALA PAKE.
JAMANI WANAFANYA HATA WALE WENYE NIA NJEMA WAOGOPE BUREEEE!!
Yaani kama huku kwetu kuna wanaume wanasema aaah hao dumu za kibongo ukimtongoza, siku ya pili utasikia mama anaumwa, then nataka kulipa kodi ya nyumba, then nimepoteza simu. aaaaaghhhhhhhhhrrrrrrr kichefu chefu, mwanaume anaogopa.
Mwangaza wa leo mkali...unaunguza macho..!!
Good Job Nuru..!! We need this kind of Mwangaza to make us see properly, we are losing our focus now....everything is going shagalabagala..
Thanks for the message..
mija ur welcome na disminder ulikuwa wapiiiiiiii...,
KUANZIA SASA NTAKUWA NA ADRESS THINGS MORE MAANA TUMEKAA TUKILALAMIKA IN SILENCE WAKATI THIS IS AN EPIDEMIC,,
Post a Comment