Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, November 1, 2012

ALIAMUA KUTIRIRIKA!!!






SAMAHANI KWA WALE NTAKAO WAUZI LAKINI HII NI kWA WAVIVU NA WASIOPENDA KUFIKILIA MBELE...............Unamkuta kijana wa miaka 26 bado anaishi kwa wazazi wake namaanisha (KKB)awazi kujisaidia mwnywe ajui km baadae atakuja kuitwa baba na pia unamkuta binti wa miaka 30 kila kukicha anawaza club,kujilemba,umbeya,majungu,ataakingia FB status zake ni za mapenzi tuu,na kazi yake ni kuangalia nani wakumpa
 hera ajui ataishije kazi yake ni kugawa vitega uchumi tuu.................................Kuna wengne hukaa vijiwen kwaajl ya kugongea,kutongoza,kupewa lift na kusengenya.mda wote wao ni kutembeza maneno kutoa hapa kupeleka hapa kwanzia asubuh mpaka ucku hakuna walichopata zaidi ya upekupeku hawapendi kujishughulsha kaz ni Uvivu tuu..........................kuna wale wa kulelewa unamkuta mkaka/mdada anawaza mke/mume wa m2 tena anawamendea nakujipitsha ili alelewe uo ni uvivu wew kam binti/kijana inabidi uji2me uoneshe uwezo wako co kujizalilisha kwaajl ya pesa/mtelemko utauawa..........ASIYE FANYA KAZI NA ASILE.....




WRITTEN BY,,,,FROM FACEBOOK!!!

5 comments:

Disminder orig baby said...

ay kweli hao NI WAVIMBA MACHO!!

Anonymous said...

Heko dada umenena! Wape wape vidonge vyao!

Anonymous said...

BONGO WATOTO WENGI NI WA MAMA NDUGU YANGU USIFANANISHENA NA HUKOOOO MIAKA 18 ABEBE MIZIGO AHAME AU AANZE KUIFUNGA KWA MATAYARISHO YA KUHAMA.ILA NI KUTOKUWA NA UHAKIKA WA MAISHA.NGUGU ULOTIRIRIKA TOFAUTISHA MAISHA KWANI YA BONGO NI YA KUBAHATISHA. MAJUU KUNA VITUO VYA WAZEE,VYA WATOTO TOKEA MWAKA 1 NK NDO KILA MTU ANA KAZI. ILI KAZI ZIPATIKANE HAO WENYE NAZO WANGEFUNGUA MAKAMPUNI,WAMBEA WANGEP,UNGUA.MAJUU UNALIPWA TOKA ULIPOZALIWA _18, NA UTAENDELEA KULIPWA HATA UKIHAMA MPAKA UPATE KAZ.NA HAO WAKE/WAUME ZAWATU HAWATOSHEKI NA MAJUMBA YAO AU MAMBO YA KIAFRIKA MPK ATOKE NJE NDO ARIDHIKE. WANAOENDA KULEA VYA NJE WAO NDO WASABABISHA YOTE HAYO.NA UKIMPA LIFT MTU AKIANZA KUSENGENYA UNAMWAMBIA NIMEKUPA LIFT TU LA ZAID SITAK UONE KAMA ATARUDIA KUMSEMA MTU.MAISHA YA NYUMBANI HAYATOBADILIKA MPAKA MATAJIRI NA WASHIKA NCHI WAGAWE KWA WOTE AU KILA MTU ALIPE TAX, JE NI LINI ITATOKEA ???LABDA SIKU YA KIAMA

Anonymous said...

wanaishi kwa wazazi ndo malezi ya kiifrika.Hawawazimbali kutokana na ufinyu wa kazina mawazo ndo maana wanaozaa wanasema kila mtt na rizki yake ,ulaya unakazi au huna unalipwa ila husubutu kuzaa zaid 3 ,na wanaozaa zaid ni walewale wasojua tabu za mbele wakaisabia hela ya mtt anayolipwa,hao wanaokaa vijiweni ndo yale yale kama wazee wacheza bao kwa kua hawan la kufanya.kama wanalakufanya hawatokaa kijiwen kusengenya ua kusubiri lift ! MIMI NA WEWE TUNAPOTEZEA MUDA KTK FACEB NA KUSOMA BLOG TUKIWA WAPWEKE .WEUSI HATA UKIWAKUTA MAJUU IKIWA SUMMER WAMEKAA MAKUND NDO MILA ZAO .wanaotembeza maneno wakosaji ni wasililizaji washushuliwe wataacha ,tukiwaandika huku labda hawaingii ktk blog...fb,twe.. nk waleaji ndo wanamakosa sasa mtu apate kibosile apewe kila kitu kwanini akatae ndo life ya bongo nenda majuu tafuta wahongaji ka utawapata. Bongo hela ya magendo nying, hawalipi ushuru ,hata akikununulia goroa mbez beach hajali, waume na wake za watu hawaridhiki na vya ndani ndo hivyo tena.Na kina dada wanaohonga wanaume wanasikilizia ut.. hao au ndo wame...ASIE NA KAZI NA ASILI MAANDIKO YA DINI TU NA SHETAN NDO KAWASIMAMIA WATU ,WANAFIKI TUWASHUSHUE TUU AKIANZA STORY YA MTU MWAMBIE HUITAK.

Anonymous said...

Mh nyie mnaotetea eti maisha ya bongo tofauti na ulaya nadhani ndo wale wale, ulaya au boango ukijituma utatoka tu kimaisha na utakuwa responsible, kwani hawa vijana wanaouza maji wanapenda? Lkn kazi hiyo inawaingizia kipato na wanaishi na wengi wao wamepanga. Sasa nyie endeleeni kujidekeza kwa visingizio visivyokuwa na kichwa wala miguu. Jitumeni vijana jamani na wasichana fanyeni biashara na si lazima uwe na mtaji mkubwa hata kilo ya unga wa ngano yaweza kua mtaji wako kazi kwako kuukuza. Thanks Nuru derar