I LIFE DAYS LIKETHESE AND EAST AFRICAS LATENIGHT SHOW!!!
AT EAST AFRICA RADIOS LATE NIGHT SHOW WITH MARY..,LET ME TELL YOU ABOUT THIS GIRLSHE IS HILARIOUS!!!!!
IT WAS HELLA FUN CO HOSTIN THE RADIO SHOW FOR THREE HOURS BUT GETTING HOME WASA HEADACHE...,HAHAHAHHA HIYO NAYO NI STORI!!!
8 comments:
Anonymous
said...
yani usijishaue wala nini kuongea hujui hata kidodgo ulikuwa unajichekesha chekesha ujinga mwingi jipange next time kama uataka kuwa celebrity lazima ujue jinsi ya kufanya interview na acha ujinga ujinga
haohao ndio wanaokutanaza kwenye mablog kule jirani kuwa umekimbilia dar umepachikwa mimba na mkaka mmoja wabongo msanii imeshasambazwa hukoo wanadamu kwamaneno nikaona nije kukuona kama unamimba kweli au lah eti kuimba umeshindwa umeona uzae maana uzee unapiga hodi habari ndio hiyoo pande zile
Na ww pia Ahsante kwa promo ya bure msikae mkaishi Maisha yenu mkafuatilia yangu but hey ckujua kuwa niko interesting kihivyo ila Nawashkuru Sana kwa kuniongezea promo,,,
We mdau wa kwanza ukome na ulegee bwanyenye wewe, hicho kijiuchi chako ndo kinachojishaua huko chupini kwako, tena ukiingia humu ndani ya hii blog uwe na heshima, wivu , chuki, uwe unaviacha nnje ya hii blog. Basi nenda na wewe ukaongee tukusikie basi, mxcziiiiuuuu, kaoge maana hilo shombo uliloingia nalo humu ni kali, Pia usisahau nunua hata zile deo za buku tatu tu

DEAR FOLKS THIS IS HOW HATE LOOKS LIKE!!!

shoga ukweli unauma? fanya ishu nyingine kutangaza hujui wala kuimba hujui.thats why afande sele alisema wengine tubaki washabiki!
We mdau wa kwanza ukome na ulegee bwanyenye wewe, hicho kijiuchi chako ndo kinachojishaua huko chupini kwako, tena ukiingia humu ndani ya hii blog uwe na heshima, wivu , chuki, uwe unaviacha nnje ya hii blog. Basi nenda na wewe ukaongee tukusikie basi, mxcziiiiuuuu, kaoge maana hilo shombo uliloingia nalo humu ni kali, Pia usisahau nunua hata zile deo za buku tatu tu
xyz
YOU LOOK NICE MY DEAR IN THAT OUTFIT.... UR SILENT ADMIRER ON FASHION
Pendeza hunny bunny, me lyke it
Mdau
Post a Comment