wamependeza sana jamani ila angeweka kakitu kadogo angalau shingoni ingenogaje naona kama yupo plane shingoni au macho yangu.na angevaa gloves fupi ingekua kama ya mfalme yaani wee acha tu tuige.
Kweli jacky kapendeza jama very simple and elegant, mwaka huu mwaka jana sijaona bride mrembo kama huyu, she was the best bride ever, Sarah wako alipendeza sana pia, ila Diva sijamuona, why????????
Hahhaha... Haya kama hujaona bride mzuri mwaka huu wala mwaka jana kama huyu basi wewe lazima utakua mgeni humu! Haloooo haloooooo sisemi kitu mimi kazi kwenu.
Kwa kweli imefanana na ya devota. Kwa mimi naweza kusema siku yangu ya kuolewa ikifika hata mimi nitaiga maana hii ndio mifano ya kuiga simple and beautiful!!!
Hii harusi ni nzuri sana... Ila kuna kitu watu hamjakiona.. Bi harusi ni mzuri sana yani ana shepu na sura bomba ... Hiyo pia imechangia kupendeza kupita maelezo.. Hata kama kuna harusi zilizopita ambazo pia zilikuwa nzuri wajameni huyu dada ana shepu to die for.
Mmmh? Shepu to die for?na wenye shepu watasemaje sasa?kwako wewe labda ndo mzuri kiivyo! Lakini kwangu wakawaida tu.Harusi nakubali ni nzuri lakini vingine sikivileee
13 comments:
kama ndio kupendeza basi wamepitiliza yani full classic pipo hongereni
wamependeza sana jamani ila angeweka kakitu kadogo angalau shingoni ingenogaje naona kama yupo plane shingoni au macho yangu.na angevaa gloves fupi ingekua kama ya mfalme yaani wee acha tu tuige.
She looks beautiful!!! If had wore gloves ect it would have have been too much. The focus is on the hair and her beautiful self
Stunning
Very beautiful.....the gloves and necklace, would have been to much...congrats to the newly Wed.
Kweli jacky kapendeza jama very simple and elegant, mwaka huu mwaka jana sijaona bride mrembo kama huyu, she was the best bride ever, Sarah wako alipendeza sana pia, ila Diva sijamuona, why????????
DIVA YUKO MAREKANI KWENYE HARUSI YA KAKA YAKE WHICH OCCURED THE SAME DAY AS THIS..,
Hahhaha... Haya kama hujaona bride mzuri mwaka huu wala mwaka jana kama huyu basi wewe lazima utakua mgeni humu! Haloooo haloooooo sisemi kitu mimi kazi kwenu.
Harusi nzuri kweli ninependa kila kitu, Alafu imefanana na harusi ile ya devota wa sweden. Very classic
Kwa kweli imefanana na ya devota. Kwa mimi naweza kusema siku yangu ya kuolewa ikifika hata mimi nitaiga maana hii ndio mifano ya kuiga simple and beautiful!!!
hivyo vya mkononi sijavifurahia kwa kweli,kila mtu na choice bora angebaki mtupu mikononi.

Post a Comment