LISA JENSEN IS THE WINNER OF REDDS MISS WORLD TANZANIA!!
I SEE YOU HAMISA..,NEXT TIME BOO BOO!!
TOP 5 AT REDDS MISS WORLD TANZANIA..,
LISA JENSEN..,
LISA JENSEN ALIWAHI KUWA MSHINDI WA TATU 2006 KWENYE SHINDANO LA MISS TANZANIA!!
SOURCE:MISSIEOLOGY AND HENRY MDIMU
4 comments:
Anonymous
said...
mimi sijaelewa hili shindano. Hawa watakuwa wawakilisha somewhere au? maana hawa si mamiss waliopita? so dhumuni la hili shindano ni nini? sisemi kwa ubaya ila sijaelewa naomba kueleweshwa asante.
HILI NI SHINDANO LA KUMCHAGUA MREMBO ATAKEYETUWAKILISHA MISS WORLD NDIO MAANA AMEWEZA KUGOMBANIA SO IT MEANS LISA JENSEN WILL BE REPRESENTING TANZANIA IN THE MISS WORLD COMPETITON ULIMWENGUNI..,I HOPE UTAKUWA UMEELEWA SASA..,
MISS TANZANIA N MISS WORLD ARE TWO DIFFERENT THINGS NA SHINDANO LA KUMCHAGUA MISS UNIVERSE NI 29THJUNE AMABAYE ATACHAGULIWA TENA DADA MWENGINE KUTUWAKILISHA..,
Sasa Nuru ndio unazidi kumchanganya mdau hapo juu. Miss Tanzania ndio anaenda kuwakilisha Tanzania kwenye Miss World na mashindano ya Miss Universe ni tofauti na Miss World. Kwa kuongezea tuu ni kwamba mwaka huu wameamua kuchukua washiriki wa zamani wa Miss Tanzania ili kushiriki taji la mwaka huu.
4 comments:
mimi sijaelewa hili shindano. Hawa watakuwa wawakilisha somewhere au? maana hawa si mamiss waliopita? so dhumuni la hili shindano ni nini? sisemi kwa ubaya ila sijaelewa naomba kueleweshwa asante.
HILI NI SHINDANO LA KUMCHAGUA MREMBO ATAKEYETUWAKILISHA MISS WORLD NDIO MAANA AMEWEZA KUGOMBANIA SO IT MEANS LISA JENSEN WILL BE REPRESENTING TANZANIA IN THE MISS WORLD COMPETITON ULIMWENGUNI..,I HOPE UTAKUWA UMEELEWA SASA..,
MISS TANZANIA N MISS WORLD ARE TWO DIFFERENT THINGS NA SHINDANO LA KUMCHAGUA MISS UNIVERSE NI 29THJUNE AMABAYE ATACHAGULIWA TENA DADA MWENGINE KUTUWAKILISHA..,
Sasa Nuru ndio unazidi kumchanganya mdau hapo juu.
Miss Tanzania ndio anaenda kuwakilisha Tanzania kwenye Miss World na mashindano ya Miss Universe ni tofauti na Miss World.
Kwa kuongezea tuu ni kwamba mwaka huu wameamua kuchukua washiriki wa zamani wa Miss Tanzania ili kushiriki taji la mwaka huu.
hata mi sielewi, so miss Tanzania ataishia hapo hapo Tanzania, bali miss reds Tanzania ndio atenda kuwakilisha? michanganyo tu kila kukichaa
Post a Comment