Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, June 8, 2012

MY TOP 6 BEST DRESSED BOUTIQUE OWNERS IN TANZANIA!!IN TANZANIA!!

 REHEMA WHO OWNS MAMA KIBUNJU!!

 IN HER DESIGN..,

 KIKI ZIMBA WHO OWNS KIKIS FASHIONS AND HAS HER OWN CLOTHING LINE ASWELL..,



 NANCY KAMEJA WHO OWNS THE INFAMOUS FK COLLECTIONS!!


 MISHY WHO OWNS VIRAGO LOCATED IN MIKOCEHNI,,SHE HAS THE BEST GOWNS WHEN IT COMES TO A WEDDING,RED CARPET AND THOSE SPECIAL OCCASIONS EVENTS!!





 MY GIRL MON SHERIE JACQUELINE WHO OWNS THE BOUTIQUE PINA COLADA!!


DEVOTA FERUZI BRENNICK WHO OWNS DIVA COLLECTIONS AND SHES GOT EVERYTHING FROM CASUAL TO EVENING WEAR!!



REHEMA CHIWALA WHO OWNS MAMA KIBUNJU AND HAS TWO STORES ONE IN NAMANGA AND THE OTHER ONE IN KINONDONI NA ANA BEI NZURI SANA!!


HAWA WOTE NILOWAWEKA NI WANAWAKE WANAOMILIKI BIASHARA ZAO BUT PIA WANAMILIKI BIASHARA ZINAZOHUSIANA NA MITINDO NA PIA WANAJUA KUVAA NA KUPANGILIA MAVAZI YAO.WHENEVA I BUMP INTO THEM THEY ALWAYS LOOK GREAT AND I THINK ITS FANTASTIC THAT SIO WANAUZIA TU WATU NGUO BUT A LIFESTYLE,,KAMA KUNA WANAWAKE WENGINE MNAWAJUA WANA MADUKA NA SIJAWAWEKA KWENYE LIST MNAWEZA NISHTUA BUT THIS IS MY ULTIMATE LIST NA WADAU MNAKARIBISHWA PIA NA YENU,,,

9 comments:

essy said...

Nawakubali wote ,wanajua kuvaa na wanaleta vitu vizuri.sana. Ila sie wanene kidogo hatupati size hasa casual wear,tunaishia kuangalia tu

Disminder orig baby said...

thanks Nuru, nitakurushia zangu.

Anonymous said...

this mama kibunju woman is whats up,damn chic is fine oooooooo

NURU THE LIGHT said...

BASI ESSY NTAWAPA HAYO MAONI ILI WASIWE WANAWASAHAU AU WASIACHE LETA BIG SIZES NA NYIE MSIANGALIE BALI MVAE PIA..,GOOD IDEA ESSY!!

NAISUBIRI MAROGOOOOOOOOOOO!!!

INDEED SHE IS,HELL THEY ALL ARE!!LOL

Disminder orig baby said...

kweli hata young sis wangu analalamika daily hapati vitu roho inapenda sababu ya size. jamani leteni na wanene wanapenda kutoka mwake mwake.

Honestly I love them boutiques in Dar!! ladies we can!!! watupe tu nafasi tupite.

Anonymous said...

Hwa nawakubariiiiiiiiiiiiiii jinsi wanavyovaaaa wenyewe paka maduka yao mazuri But mimi binafsi napenda vitu vya Mishi viko so f.......... classsssssssssss...c na mRS kAMEJA WA MWISHO dEVOTHAAAAAAAAAAA DIVA HAWA NDIO ROHO YANGU NANZISHA KIPINDI SOON RAZIMA WAWEPO HILO NDIO CHAGUO LANGU

essy said...

Thx nuru ,naomba uwaambie jaman,watukumbuke sie wa sketi size 16 ,kama kiki na pinacolada wameleta vitu vipya hivi karibuni,size ndo tatizo ! Ila mama kibunju nae anavaaa

Anonymous said...

thats trully nice Nuru na umepatia but kitu kimoja wadada wafanyabiashara hawaelewi, wanakua na bei ya juu sana na wanaoweza kuafford kuvaa ni wachache, mi naona wasiwe na bei za tamaa sana ili ubora wao uwafikie wadada wengi coz the more wasichaana wadada)wakiwa wengi kwenye ununuzi,ndio na wao watapata faida sana.

Anonymous said...

Kidoti is my nr 1, Kiki,the Mboni Masimba.