Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, June 7, 2012

ZILIPENDWA!!

11 comments:

essy said...

Naliomba hilo gauni nuru ,japo na wewe limekupendeza sana.

Disminder orig baby said...

aaah zilipendwa wapi?
naitaka hii mama wa vijimbambo.com.
juzi mama alikuwa anatwambie tunzeni nguo zenu fashion zinajirudia kila siku.

pendeza sana.

Anonymous said...

Nuru hiyo gauni km bado unayo naiomba nimeipenda.

Anonymous said...

Maybe you should sell the dress to the highest bidder.. did someone say $10?

NURU THE LIGHT said...

hahahahah uwiiiiiiii kwavile ishavaliwa na nuru the light hatuwezi anza na ten,,u gotta do way better than that!!

Disminder orig baby said...

true tupe dau Light inaonyesha wengi tumeipenda then mshindi achukue kiwalo.com

Anonymous said...

$15 Me want it too

Mdau

NURU THE LIGHT said...

15....,,,I BEG WOOOOOOOOOO!!!TO DIFFER!!

Anonymous said...

20$ and u pay for the shipping to USA :)

essy said...

Mwe !tumelipania gauni la nuru ,ila me ndo niko huku tz ,sijui nuru atanifikiria kidogo

NURU THE LIGHT said...

HAHAHAHAH ESSY..,UWIIIIIIIIIIII!!AHSANTE SANA KWA KUNIFURAHISHA LEO..,UNAVAA SIZE GANI ESSY!!