Wema Mungu akuangazie zaid kwani ukisema Mola nipe na ukatoa mguu kutafuta utafika. Nadhani ni hiyo nywele ndo imemfanya aonekane mweupe but kila mtu na mapenzi yake
Kweli mdau though ni maisha yake lakini leo mpaka nimesearch picha zake za nyuma alikuwa na ngozi nzuri kweli. Namtakia kila la heri katika mipango na kazi zake...I real like her!
Mmmmmh WEMA umejichubua umekuwa kama mzungu? kwa kweli nakupenda sana lakini hiyo tabia yako ya kujichubua wala siipendi,hongera kwa kulileta gwiji la cinema kutola Yoruba Land bado Mama G.
6 comments:
wema apunguze kujichubua ila tunampenda sanaaaa jamani
Wema Mungu akuangazie zaid kwani ukisema Mola nipe na ukatoa mguu kutafuta utafika. Nadhani ni hiyo nywele ndo imemfanya aonekane mweupe but kila mtu na mapenzi yake
Kweli mdau though ni maisha yake lakini leo mpaka nimesearch picha zake za nyuma alikuwa na ngozi nzuri kweli. Namtakia kila la heri katika mipango na kazi zake...I real like her!
congrats baby doll!!!!
wachape bakora za macho, mdomo funga tafadhali, funguo tupa baharini. HAPO KAZI TU.
kweli hiyo picha ni nzuri sana wamendendeza. umefanya kitu kikubwa sana. Omotola dah nimekupendajeeee u a so nyc kwakweli.

Post a Comment