umependeza sana shost. ila lipstick jaribu kubadilisha angalia ya Sporah .unapaka nyekundu sana na kila mara rangi hiyo hiyo na wewe mashaalwah .mdomo mzur wa kizanzibar.lakini umependeza kabisa mwaaah
nawapendeni wooooote, my tz role models of all the time Sporah napenda sana mavazi yako Kiatu CL mtoto wakichaga lol CL na Uchagani wapi na wapi - Joking I Love you and respect you Sporah so much, Can't wait to watch this one.
HAHAHAH COMMENT YA MWISHO UMENIUWAA UNAJUA MTU AKIHATE ANAKUWA KAMA VILE KIPOFU HAONI KITU BALI CHUKI MAANA MAPICHA YOOOTE YALIYO HUMU WAKATI SINA MAKE UP HUJAYAONA AHSANTEEE NA ENDELEA HIVYOHIVYO KUPITA HUKU WAKATI MM NATENGENEZA FUTURE YANGU!!
AHSANTENI WOTEEEEEEEEEE KWA MANENO YENU WADAU NASHKURU SANA NA MAKE UP WAS MAC AND LANCOME!!
17 comments:
Umeng'aaaa ,kweli the light !i like black shoes !
nuru light unapenda sana kuruka ruka, umependeza sana bigup
Baby gurl,ur breathe taking aisee u look exquiste n me loving that short sleeved coat u wearing details plz!!!
Simply beautiful!
umependeza sana shost. ila lipstick jaribu kubadilisha angalia ya Sporah .unapaka nyekundu sana na kila mara rangi hiyo hiyo na wewe mashaalwah .mdomo mzur wa kizanzibar.lakini umependeza kabisa mwaaah
lini kitakuwa kwenye tv interview yako?uk? Asante
Ilike your Black outfit, your look very funne. By the way what is your star. I mean when is your Birthday? I kind of like you
MY BIRTHDAY IS JUNE 22ND SO AM A CANCER...,
INGIA WWW.SPORAHSHOW.COM ALL THE DETAILS ARE THERE PLUS THEIR FACEBOOK PAGE ABOUT MY SHOW N WHEN IT AIRS..,
LIPSTICK SIYO KILA SIKU HIYOHIYO NINA DIFFERENT SHADES OF RED..,
YA KURUKA RUKA NDIO MY STYLE MWAYA NA KILA KITU KWA MDA WAKE,WAKATI WA KUWA SERIOUS AM SERIOUS NA WAKATI WA FUN ITS FUN,,AHSANTENI WOTEEEE
we mzuri tu,tishaaaaa
o my god u looked dashiiiiing!!....am just loving your smiles..
Star tv kinaonyeswa lini
Kweli Kila Mtu na kazi yake sijawahi kukuona umependeza na makeup Kama ivyo .... Ilove da makeup umependeza Sanaa ni brand gani ya makeup pls !!!
Jamani dada fanya fanya basi utuletee mtoto atakuwaje mzuri kama mama yake? shombe shombe babby,,,
nawapendeni wooooote, my tz role models of all the time
Sporah napenda sana mavazi yako
Kiatu CL mtoto wakichaga lol
CL na Uchagani wapi na wapi - Joking
I Love you and respect you Sporah so much, Can't wait to watch this one.
Always makeup....inaonekana hata ukilala wewe makeup tu, lol bila makeup hiyo sura si utakuwa unatisha my friend....hahahaaa NILIKUWA NAPITA TU
HAHAHAH COMMENT YA MWISHO UMENIUWAA UNAJUA MTU AKIHATE ANAKUWA KAMA VILE KIPOFU HAONI KITU BALI CHUKI MAANA MAPICHA YOOOTE YALIYO HUMU WAKATI SINA MAKE UP HUJAYAONA AHSANTEEE NA ENDELEA HIVYOHIVYO KUPITA HUKU WAKATI MM NATENGENEZA FUTURE YANGU!!
AHSANTENI WOTEEEEEEEEEE KWA MANENO YENU WADAU NASHKURU SANA NA MAKE UP WAS MAC AND LANCOME!!
U rock gal! achana na haters! mi wivu tu wamekalia, hawawezi kuwa kama wewe hata siku moja. wanywe povu la omo kama vipi.
Lovely to see Aunty Jesicca, she still has her swag, very Lovely woman.. Take good care of her Ms. Nuru.
Post a Comment