No analindwa hivi cause kifo cha Kanumba kina utata sana, kama yeye hakuhusika yule aliehusika anaweza akawa anatafuta jinsi ya kukamaliza ili ushahidi upotee. Pili wale mashabiki na wapenzi wa Kanumba wasije mdhuru au kumpetezea maisha, si unajua wananchi wenye hasira kali, thats why. Pole lulu Ila sikio la Kufa halisikii dawaaa
2 comments:
Jamani Lulu? Yaani tunapenda sana kukuza issue......Mbona Mafisadi hawalidwi kihivi. Please wasimsoneneshe huyu mtoto, i realy feel sorry for her

Post a Comment