for sure it will pass The Light. But Wema aache kuwa mwema, kuna watu hasa some of the men hawaelewi na hasa sisi wa kuleeee kwetu!!!!.................. Be expensive and disminder baby.
Lakini Nuru, ingekuwa wewe ungefanya alichofanya Wema? X wanaweza kuwa marafiki lakini si right away it takes time.. Kuna wakati ukikutana na x wako hata njia unabadili. Mapenzi ya kuropoka ropoka na kuanika kila kitu chenu hadharani ndio matokeo yake haya. Wema anatakiwa kutulia hivi angekaa tu kwenye kiti chake kama wengine walivyokaa yangemkuta haya? Yawezekana yeye ame move on lakini mwenzie bado na hiyo ndo njia yake ya kumuonyesha all is not well. Simtetei Diamond kwani alichofanya si kitu kizuri ila Wema asingeinuka pale alipokaa haya yasingemkuta.
5 comments:
what happened? what was that girl in blue doing?
I feel so so sorry for her jamani inaumiza,sina la kusema duh inauma wanaume hawa ooh!!
for sure it will pass The Light. But Wema aache kuwa mwema, kuna watu hasa some of the men hawaelewi na hasa sisi wa kuleeee kwetu!!!!..................
Be expensive and disminder baby.
MAROGOOOOOOOOOOOOO
Lakini Nuru, ingekuwa wewe ungefanya alichofanya Wema? X wanaweza kuwa marafiki lakini si right away it takes time.. Kuna wakati ukikutana na x wako hata njia unabadili. Mapenzi ya kuropoka ropoka na kuanika kila kitu chenu hadharani ndio matokeo yake haya.
Wema anatakiwa kutulia hivi angekaa tu kwenye kiti chake kama wengine walivyokaa yangemkuta haya?
Yawezekana yeye ame move on lakini mwenzie bado na hiyo ndo njia yake ya kumuonyesha all is not well.
Simtetei Diamond kwani alichofanya si kitu kizuri ila Wema asingeinuka pale alipokaa haya yasingemkuta.
The girl in Blue is Wema Sepetu , x of Diamond, she was giving that money she is holding to Diamond and he refused to take it.
Post a Comment