Very true about the worst dressed mates...it was as though wanaenda kwenye after party or something..they truelly need designers au hata people who talk to them about it..but the fact that they showed themselves kwenye red ribbon was really good..it shows the unity to fight against H.i.v
What the heck is Diamond wearing? Does he understand the meaning or just because it's written in English can be worn anywhere? Shame on them all who wore as if they were in "stupid party" excuse me for my language..but that's so ridiculous. MwanaFa has been out of the country several times I wouldn't expect him to wear that way. And the girl who shows his skin with her "pinned dressed" was she there for "bizness"? Kind of...
Jamani huyo dada wa kwanza alivyovaa ha ha haaaaa! i think hajui kwamba hiyo nguo aliyovaa ina sehemu yake lkn sio hapo. next time awe anauliza pia atakuwa amejifunza sana.
nuru huyu dada wa kwanza kaniacha hoi zaidi mwenyewe anaona katokaaaa ha ha ha,ni kituko kweli hata hajapendeza kwani hajui kuna madisigner wanashauri pia nini cha kuvaa na wapi?
8 comments:
kweliiiii

the gala n the cause got massive support n for that we thank everybody that attended..,
What the heck is Diamond wearing? Does he understand the meaning or just because it's written in English can be worn anywhere? Shame on them all who wore as if they were in "stupid party" excuse me for my language..but that's so ridiculous. MwanaFa has been out of the country several times I wouldn't expect him to wear that way. And the girl who shows his skin with her "pinned dressed" was she there for "bizness"? Kind of...
ha ha Nuru, umeanza fashion police eh? safi ilove it mama ch....
ilibidi wajue how to dress for the event before the party....
Jamani huyo dada wa kwanza alivyovaa ha ha haaaaa! i think hajui kwamba hiyo nguo aliyovaa ina sehemu yake lkn sio hapo. next time awe anauliza pia atakuwa amejifunza sana.
nuru huyu dada wa kwanza kaniacha hoi zaidi mwenyewe anaona katokaaaa ha ha ha,ni kituko kweli hata hajapendeza kwani hajui kuna madisigner wanashauri pia nini cha kuvaa na wapi?
this pin dress nyeusi is look weird yani more than worst huyu na lady gagaga ni ndugu bila shaka so hapa alikuja kumwakilisha gagaga
Post a Comment