Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, December 5, 2011

MUSSA HUSSEINS INTERVIEW WITH MO BLOG!!



*AZUNGUMZA NA MO BLOG NA KUWEKA WAZI MIKAKATI YAKE IJAYO.


* ASHAURI ABIRIA KUFAHAMISHWA MBINU ZA KUJIOKOA



MO BLOG: Nini kitakuwa tofauti na vipindi vingine vya TV ambavyo umewahi kufanya.?


MUSSA HUSSEIN: Kitu ambacho kitakuwa tofauti na show nyingine ambazo mimi nimewahi kufanya ni kwamba hapa nitakupa stori za ajali za kuzama kwa meli sio ya Nungwi pekee bali hata zilizopita nikikuonyesha matukio yenyewe yalivyokuwa tofauti na unaposoma kwenye gazeti au kusikia redioni. Kwa mfano katika taarifa ya habari utaonyeshwa kwa sekunde 30 tu mchezo umekwisha.


Hivyo huwezi kugundua haya matukio ni makubwa au ni madogo kiasi gani.


MO BLOG: Nini kimekufanya ufikie maamuzi ya kufanya kipindi cha namna hii kinachoonyesha matukio halisi au huridhishwi na jinsi taarifa za majanga zinavyotolewa?


MUSSA HUSSEIN: Kwanza watanzania hatuna utamaduni wa kusoma, ila ninachoshukuru Mungu kwa sasa hivi kuna ongezeko kubwa la watanzania wanaotazama TV au mitandao hii mingine iliyopo, kwa kutokea hapo nikaona kwa sababu kila siku tunatoa lawama kwa serikali wakati mwingine tunalaumiana wenyewe kwa wenyewe ipo haja ya kupeana elimu wenyewe kuhusiana na majanga yanayotokea kila mara ikiwemo kwenye maji, barabarani au popote pale.


Kwa sababu kila siku anayeandika anasema Ajali za Barabarani zitatumaliza, Ajali za angani zitatumaliza, Ajali za majini zitatumaliza kila siku ni hivyo hivyo. Na ukiangalia hizi ajali za sijui meli, treni, mabasi zinaua mamia ya watu.


Kusoma Mahojiano yote bonyeza hapa: http://dewjiblog.com/2011/12/04/ni-mussa-hussein-tena-baada-ya-%E2%80%98uswazi%E2%80%99-sasa-kaa-tayari-kutazama-%E2%80%98safari-ya-nungwi%E2%80%99/

.



2 comments:

Anonymous said...

is this the same dude who killed 3 locals from one of his safaris up country?, au?, coz waht can he really talk abt wakati nayeye aliuwa na akalipa watu kufutiwa kesi??, nuru plz sum tyms muwe mnaweka people wanao deserve kuwekwa hapa... wewe nikoo cha jamii dont post evrything mtu anacho kupa...

NURU THE LIGHT said...

just as you told me mm ni kioo na nisipost kila kitu nnacholetewa na ww pia nakuomba kutake your own responsibility ya kusoma hii post inahusu nn au kuhusu nani..,umeambiwa musa anafanya kipindi kuhusu hajali sio yy ndio kauwa mtu halafu s ndio anafanya kipindi na sidhani kuwa umetufanya ss wote watu kama michuzi,mo blog,haki ngowi,dj choka ni wachache tuu nilowataja kwamba ss wote ni malumbukeni and all of a sudden tunaweka tu vitu ili mradi so na ww pia do your homework before commenting on it.,.,ahsante