ila dada kiingereza chako unachotumia huku, sijui ni cha wapi. Heart-Hate Gentlemans-Gentlemen Coast-Cost Huoni kama unatuchanganya jamani!? i thought bloging is part of journalism. and i know journalism has its ethics. So are you following Journalism ethics? If not ujue'UNAPOTOSHA'.
Msione wazungu mkajua wote wanaongea english...especially in scandinavian country uku tunaogea only swedish, denish and norwegian etc...english ni mara chache sana ila mmmmm hapa Nuru chemsha bongo....
Du! Ald kukuelimis a wewe inahitaji one on one. Hayo maneno hapo juu hayana maana uliyosema wewe. Mfano: Heart- Nuru anamaanisha "love" na sio "hate" kama ulivyosema wewe i.e. "I love days like these." Ametumia neno "heart" kwasababu heart ina-shape ya love. Labda kifupi niseme anatumia lugha ya sanaa. Namuunga mkono msemaji hapo juu anon nov 9 9.38am, English sio universal. Huko Scandinavian countries kingereza chao ni tofauti na UK au US etc. Mfano: US wanaandika "color" wakati british english ni "colour" etc. Same applies to how we pronounce "schedule" etc
3 comments:
ila dada kiingereza chako unachotumia huku, sijui ni cha wapi.
Heart-Hate
Gentlemans-Gentlemen
Coast-Cost
Huoni kama unatuchanganya jamani!? i thought bloging is part of journalism. and i know journalism has its ethics. So are you following Journalism ethics? If not ujue'UNAPOTOSHA'.

Post a Comment