
Kwa heshima na taadhima zote naomba wadau tuipigie kura ili blog yetu iweze kupata tuzo hii muhimu. Hii ni Blog pekee kutoka Tanzania kuingia katika kinyang'anyiro hiki.
Jinsi ya kupiga kura ni rahisi tu tembelea www.beffta.com/voting utaona fomu ya kujaza andika jina lako, email yako, halfu chini ya Category chagua News 4. Blog of the Year na kwenye Nominee chagua Miss Jestina George.
Baada ya hapo bofya Submit Your Vote.
Blog ya www.missjestinageorge.blogspot.com ina husika na Mambo ya Urembo, Mitindo, Sanaa na Matukio Mbalimbali na Motomoto kutoka kila pande za dunia.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote ambao watakaoweza kupigia kura na hata wale wambao hawata weza kupigia kwa sababu moja au nyingine.
1 comment:
I give my fellow Tz my vote too, togather tunawakilishaaaaa
Anita
Post a Comment