its a vaccine amabayo ipo tayri imeshtengenezwa ss ndio muda wa hii miaka saba baada ya ile vaccine kutengenezwa wamekuw wakiitest kwa watu wenye hiv kwa mda huu wa miaka 7 ili wajue madhara gani na uzuri gani hiyo vaccine inaweza wasaidia wtu waloathirika na ukimwi..,ahsante
2 comments:
Ukoo wenu mmejaaliwa akili na ukarimu mashaallah, naongea from experience nawajua. Sasa sijaelewa, kaka yako anatengeneza chanjo ya HIV?

Post a Comment